Weee!!! nakumbuka hivi live talk ilikuwa mtanange sijui wa nani na nani hapa jf!!!!! wewewweeee ......
🤣🤣🤣🤣Weee!!! nakumbuka hivi live talk ilikuwa mtanange sijui wa nani na nani hapa jf!!!!! wewewweeee ......
Hao ni board memberstuwasubiri kwa muongozo
Waanze na wewe halafu wajikite kwenye story za kwenye ile TBT yako humu, pale ulipokuwa Tabora kwenye hotel flani wewe na ba mjengo wako ukamwambia ajiangalie anavyofanya kwenye kioo, ulikuwa na maana gani🥸‽tuwasubiri kwa muongozo
class mate sio kwa cheko hilo🤣🤣🤣🤣
😜😜😜😜😜
Unataka vijana wajikojolee tu kwenye ofisi za watu!!!! huna lolote wewe mchonganishi wa mibolo dinda.Waanze na wewe halafu wajikite kwenye story za kwenye ile TBT yako humu, pale ulipokuwa Tabora kwenye hotel flani wewe na ba mjengo wako ukamwambia ajiangalie anavyofanya kwenye kioo, ulikuwa na maana gani🥸‽
Watajua wao, muhimu wapate umbea tu 😁Unataka vijana wajikojolee tu kwenye ofisi za watu!!!! huna lolote wewe mchonganishi wa mibolo dinda.