Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

None of them.
Kumbukumbu zangu zipo strong hasa nikiamua kumkumbuka.
Nje ya mada..
Je Mwanadamu anaweza kuilazimisha Mind yake iwe inaPerceive precognition???
What is knowledge? Unaamini ktk ndoto au maono?

My brothee perceived knoedge does not comes from nothing it comes from the experience stored as memmory
 
I'm not fascinated in ndoto/maono coz I don't wanna know what's Next. Foreseeing.

I just want to share knowledge don't bend this to me.. personal.
Ok mkuu nimekuelewa, hapo unsposema precognition haina utofauti na maono kiujumla imekaa kiroho zaidi sio kisayansi, maana huwezi kuona kitu cha siku zijazo zaidi ya kutumia logic ku bashiri
 
FB_IMG_16227260739311370.jpg
 
Da'Vinci
I appreciate this man. He know how to write unthinkable issue to become thinkable issue.
For sure, He deserve more credit than he receive.
Brother Natumaini nature imeniweka pale napostahili so sitaki nifosi kupata more credit. Siku Mungu akiruhusu nipate hizo. One day!
Thanks for gratitude expression.. this means a lot to me
 
Ok mkuu nimekuelewa, hapo unsposema precognition haina utofauti na maono kiujumla imekaa kiroho zaidi sio kisayansi, maana huwezi kuona kitu cha siku zijazo zaidi ya kutumia logic ku bashiri
Kuna utofauti wa kuona kwa akili na kuona kwa ubongo
 
Ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye Akili (Mind). Sababu ni kwamba tunachanganya tofauti ya ubongo na akili. Ubongo ni mfumo endeshi (operating System upande wa Hardware yaani physical body) wa mwili wa binaadamu ambao umegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Ubongo wa mbele, wa kati na wa mwisho….. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression, tunaweza kusema soul ni mfumo endeshi wa mwanadamu ambao unashughulikia mambo ya kiroho na mazingira/Nature (operating system inayoongoza upande wa Software katika mwili wa mwanadamu). Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi jema.

Memory ni kisehemu katika ubongo ambapo taarifa (data au information) zinachambuliwa, zinahifadhiwa na kutolewa pindi zinapohitajika. Lakini pia Memory/kumbukumbu ni uwezo wa kukumbuka mambo ya zamani kama vile tabia/habits, uzoefu/experience, maarifa/skills, hisia, facts nk. Ubongo na Akili vyote vinatumika katika kuhifadhi kumbukumbu lakini zimetofautiani katika utendaji kazi, hivyo hapa tutaangali jinsi ubongo unavyokusanya taarifa na kuzihifadhi pia na akili jinsi ikusanyavyo.
 
Wachawi wote duniani wanapenda kuogopewa they feed up from your fear, un
Nime-highlight sehemu hiyo sababu nataka mtoa mada afafanue neno "Uchawi".

Afrika neno Uchawi linasemwa sana na bahati mbaya zaidi wafrika karibu wote wanafikiri kuna kitu kinaitwa Uchawi na Wachawi.

Lakini je, Uchawi maana yake ni nini?

Ni nini asili ya neno uchawi?

Je, fikira kwamba kuna uchawi zina ukweli gani?

Na je, ni nini tofauti ya Uchawi na Ushirikina?

Nikipata majibu nitarudi tujadili.
 
Nime-highlight sehemu hiyo sababu nataka mtoa mada afafanue neno "Uchawi".

Afrika neno Uchawi linasemwa sana na bahati mbaya zaidi wafrika karibu wote wanafikiri kuna kitu kinaitwa Uchawi na Wachawi.

Lakini je, Uchawi maana yake ni nini?

Ni nini asili ya neno uchawi?
Hapo juu nitashindwa kukujibu maana mm sio mtaalamu wa lugha, Nadhani wajuzi wanaweza kutusaidia maana na asili ya neno uchawi
Je, fikira kwamba kuna uchawi zina ukweli gani?
Ndio, Zinaukweli hasa kama unaamini katika Mungu
Na je, ni nini tofauti ya Uchawi na Ushirikina?

Nikipata majibu nitarudi tujadili.
Naweza kusema uchawi ni Nomino na ushirikina ni kitenzi.
Ila naweza kualika watu hapa wakaja kutupa maana ya ushirikina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom