Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

umeona eehhh...kuna watu wana feel good kuanzisha story za kupinga kundi fulani...
kumbe hata ya jana ilikuwa mazungumzo baada ya habari,,,

Hata waje na thread mia ndio tumeshaolewa na ma PhD yetu na haachiki mtu...
Mie huwa nasoma thread nyingi tu humu na zinazolalamika lalamika kuhusu mambo ya ndoa ni za kutunga tena kutoka kwa watu wasio kwenye ndoa (with zero marriage experience)! Wanatunga tunga tu na kupotoshana hawajui ya kuwa elimu na uwezo wa kifedha kwa wanandoa wengi kunafanya wanandoa wapate maendeleo yao kwa haraka na hata pia wapigane jeki pindi mmoja wapo anapo kwana! Na ili kuwezesha hili ni lazima mtu apate mwenza aliye husband/wife material!
 
Awe na elimu, asiwe na elimu, mwanamke akikutana na mwanaume wa ukweli atatulia tu, na atasikiliza mwanaume anavyotaka.
Elimu yake na kazi kazi yake zitatawala nje ya nyumba, akiingia ndani tu, lazima atajua kaingia kwa mume wake, hata kama hiyo nyumba ni mali yake. Tatizo wanaume wa ukweli tupo wachache sana.
 
Viol kweli lkn nisije nikashusha ushauri wa busara hapa kumbe bado upo upo hata huyo wife to be hajazaliwa bado.
 
Last edited by a moderator:
pole bestie hata I love uu NO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mi mbona ninakucha ndefu na nafua vizur tu tena mpaka mijinsi migumuuuuuuuuuu!!!! elimu haihusiki hapo ni ujeuri wa mtu tu...after all mwanaume lazima akheshimiwe atii
 
Certificate kwa degree mbili? (mwanamke). Ili maelewano yarejee either mzidi kipato au jitahidi usome ili upate japo degree moja. La kumzidi kipato ni gumu kidogo ila la kusoma na kupata japo degree moja au masters degree ni rahisi sana. Tena ukiwa serious miaka minne mbele unakuwa na degee yako. Kwa mfano kama una certificate tayari hilo ni bonge la dili maan ukienda open university na hio certificate utasoma foundation course kwa mwaka mmoja halafu mwaka unaofuata wanakurusu kusoma degree yoyote of your choice. Kwa mfano unaweza soma LLB, Education, Sociology n.k. Gharama ni ndogo sana. kama umeweza kumiliki mwanamke ana degree mbili huwezi shindwa toa hizo gharama. Pigana kwa nguvu zako zote ili uokoe ndoa yako, tofauti na hapo jiandae kwa ndoa kuvunjika. Pengo la elimu kati yenu ni kubwa sana! Kimsingi anakudharau maana anahisi kama anakuzidi kwa kila kitu kuanzia akili kichwani, na pengine uchumi.... work on it now! ndoa zinaanzaga kuvunjika taratibu kam hivo.
 
Umenena


Awe na elimu, asiwe na elimu, mwanamke akikutana na mwanaume wa ukweli atatulia tu, na atasikiliza mwanaume anavyotaka.
Elimu yake na kazi kazi yake zitatawala nje ya nyumba, akiingia ndani tu, lazima atajua kaingia kwa mume wake, hata kama hiyo nyumba ni mali yake. Tatizo wanaume wa ukweli tupo wachache sana.
 
SAA 7 Usk? Pole sana sijui nianzie wapi ila Hugo si mke
 
Back
Top Bottom