Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

unaukumbuka uzi uleeee sasa kumbe haikuwa kwako????
 
Mkuu Viol pole sana kwa masaibu.... hivi uliutendea kazi ule uzi kama ulikuwa unasema "wanawake darasa la saba ndio wanao olewa" wengi wanaleta usomi hadi kwenye maisha ya ndoa , sasa huyo anatikisa kiberiti kuona kina njiti ngapi i.e kuona zile theory wanazo fundishwaga kuhusu usawa kati ya me & ke kama zinafanya kazi au la.
Mzee si mchezo..hayo mabastola
 
karibu MO11 herbal clinic
tunapima
kikohozi kikali
ukimwi
kifua kikuu
kubanja
dawa bure kutolewa kwa malipo kama ya bure pia tunatoa ushuri na saha
pia tunatoa huduma za mazishi na sanda pamoja na kuuza majeneza
kwa malelezo zaidi
wasiliana na dr MO11 kwa namba zifuatazo 112 ukibipu tutakupigia

Mbona nabipu namba inaniambia hampatikani nijaribu baadae, nimemuachia maagizo huyo dada uliemuachia simu yako.

Nahitaji dawa ya kifua
 
Last edited by a moderator:
Mbona nabipu namba inaniambia hampatikani nijaribu baadae, nimemuachia maagizo huyo dada uliemuachia simu yako.

Nahitaji dawa ya kifua

huyu dada namfukuza kazi ungemuuliza nimekwenda wapi
maana muda mwengine ni muongo hasa akisikia sauti za wanawake
 
kwa jukwaa la MMU,hii inabidi iwe thread ya mwezi.babkubwa.
 
A man proclaiming himself to be an 'angel' ?! hmmm.
 
Back
Top Bottom