Dedication: wimbo wa bushoke, uleee wa kazaa mwarabu
Sio mchina?
Na saivi Kuna hatari ya kuletewa breeds za kichina. walivyojaa mjini..lol
Mi napenda tu unavyochuchuma
Mwanaume wa kweli hutumia du..m..eAwe na elimu, asiwe na elimu, mwanamke akikutana na mwanaume wa ukweli atatulia tu, na atasikiliza mwanaume anavyotaka.
Elimu yake na kazi kazi yake zitatawala nje ya nyumba, akiingia ndani tu, lazima atajua kaingia kwa mume wake, hata kama hiyo nyumba ni mali yake. Tatizo wanaume wa ukweli tupo wachache sana.
Nipo double ila nioe tu hivo hivo.Upo single?