Nina certificate ye anazo degree mbili,wote ni waajiriwa,kumbukeni jana alirudi saa saba usiku kisingizio foleni,sikuvumilia tulizipiga na yeye alizirudisha,saa tisa usiku ilikuwa WW2,kilichotuamua mtoto aliyeamka tulicalm down,mke gani hawezi kufua kisa kucha ndefu eti zitavunjika,hata siku moja sijapewa neno I love u,sita kwa sita mi natoa jasho ye anasoma daily news,hapiki,wageni wa kiume anaodai ni ndugu zake wakija atapika bila hata vitendea kazi,ataongea romantic siku hiyo hata kabla ya kulala tutasali sala ndefu kama tupo serious vile yote kuficha aibu.
degree mbili hajui kupika mboga za majani.
Wanawake wasomi ni shida nipo kwenye vita kali inatakiwa niwe stable.
Hapa nawaza kwa sauti
Tupeane talaka japo nije kumwoa mwanamke aliyeishia la saba au form four.
Any suggestion?
Mkuu mimi niliona mbali siku nyingi wanawake wasomi wasumbufu sana nipo na wa form 4 hapa maisha ni matamuje!!? Pole ssana mbaba