Heri la saba unaweza kumcotrol mkuu
Hii system ya maisha ya ndoa ngumu sana
Very Interesting!
Kama hujaoa mkuu achana na hizi story zako usije pata bahati mbaya ukapata mke pasua kichwa, Omba Mungu!
Nina certificate ye anazo degree mbili,wote ni waajiriwa,kumbukeni jana alirudi saa saba usiku kisingizio foleni,sikuvumilia tulizipiga na yeye alizirudisha,saa tisa usiku ilikuwa WW2,kilichotuamua mtoto aliyeamka tulicalm down,mke gani hawezi kufua kisa kucha ndefu eti zitavunjika,hata siku moja sijapewa neno I love u,sita kwa sita mi natoa jasho ye anasoma daily news,hapiki,wageni wa kiume anaodai ni ndugu zake wakija atapika bila hata vitendea kazi,ataongea romantic siku hiyo hata kabla ya kulala tutasali sala ndefu kama tupo serious vile yote kuficha aibu.
degree mbili hajui kupika mboga za majani.
Wanawake wasomi ni shida nipo kwenye vita kali inatakiwa niwe stable.
Hapa nawaza kwa sauti
Tupeane talaka japo nije kumwoa mwanamke aliyeishia la saba au form four.
Any suggestion?
umeona eehhh...kuna watu wana feel good kuanzisha story za kupinga kundi fulani...
kumbe hata ya jana ilikuwa mazungumzo baada ya habari,,,
Hata waje na thread mia ndio tumeshaolewa na ma PhD yetu na haachiki mtu...
tatizo la kuoa mwanamke mwenye elimu ndogo huwa ni moja tu, wana INFERIORITY COMPLEX ya hali ya juu.. kila unachokifanya anaona unafanya kwa sababu ww una elimu ya juu na wewe unamwonea.. hata umfanyie nn haishi kulalama ndani ya nyumba.. wakati mwingine bora kuwa na wasomi wababe kuliko hawa vilaza wa kulialia kila siku kisa HAWAJASOMA AU HAWANA KAZI..
Mke ni baraka
Mkuu form four na la saba ndo mpango
Mkuu Viol pole sana kwa masaibu.... hivi uliutendea kazi ule uzi kama ulikuwa unasema "wanawake darasa la saba ndio wanao olewa" wengi wanaleta usomi hadi kwenye maisha ya ndoa , sasa huyo anatikisa kiberiti kuona kina njiti ngapi i.e kuona zile theory wanazo fundishwaga kuhusu usawa kati ya me & ke kama zinafanya kazi au la.