Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
wewe sio Musilamu na una wa doubt kufanya maamuzi kwa kulingana na miongozo ya dini yao?..sawa
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Sukiliza ndugu hajatenguliwa nafasi yake,bali kasimamishwa kusubiri uchunguzi wa shauri lake na hii ni kawaida tu.Hawezi kubaki kwenye nafasi hiyo wakati akichunguzwa na akikutwa hana hatia atarejeshwa kwenye nafasi yake
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Huyu apewe blue tiki kwa upumbavu
 
Hamna kitu kama hicho , nakushauri hayo mambo achana nayo , kwa sababu Qur an hakuna ayah zinapingana , moja wakataze liwat na nyingine wakubali ...Hizo ni styl sio kubadilisha maana ya tendeo​
Nimeusikia ushauri na nitaufuata
 
Ya ngoswe muachie ngoswe.. huku usije utaacha ndala.

#Hallelujah!!!
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Nakubaliana naweza, Mimi ni muislam namjua vizuri hyu bwana
 
Viongozi wa dini wanapaswa kuwa above doubts. Yule dada aliongea vitu ambavyo vinashawishi na huenda BAKWATA walijiridhisha zaidi.
Pia, hujabainisha sababu za huyo shehe kuhangiwa fedha.
Kuwaamini BAKWATA bila ushahidi ni sawa na kiwaaamini TBC.
 
wenye dini yake wanaelewa alipokosea,na kama hajatendewa haki naamini anaelewa nini cha kufanya kwa taratibu za dini yake
Misingi ya haki iko wazi kwa dini zote na ata kwa wapagani
 
Mbona alikuwa anamkandiakandia Lissu, tungeweza kusema CHADEMA wamemkomoa aache kidomodomo. Je hajawahi kuukosoa utawala uliopo? kaama aliwahi kuukosoa basi wamemfanyizia, maana wale ndio wenye nguvu, yeyote aliye kinyume nao lazima wamshughulikie. Hizi siasa ni noma sana kwa viongozi wa dini kuonesha misimamo yao
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
"Ukiwa kiongozi wa umma acha uhuni huni" - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 1995
 
Back
Top Bottom