Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

Kama ishu ni kubandua mwanamke na kuzaa naye mbona hiyo poa tu na ni kawaida kwa mwanaume yeyote rijali. Kazi ya wanawake ni kuzaa, haijalishi mimba aliipewa na nani. Sifa ya viumebe hai ni kuzaliana, hiyo ni moja na zingine zipo. Sasa kama mtu kazaa kwani kuzaa ni kosa?
 
Sheikh ametumia vizuri viungo vyake vya uzazi
 
Kama ingekuwa ni kutumia hela za taasisi kibinafsi na kupanga na kushiriki vitendo vya kihalifu huku akiwa sheikh hapo tungesema anastahili kuwajibishwa. Sasa mtu ni mbanduaji, kuna kosa hapo? Nyape zenyewe zinajiparatisha kwake, aziache? Binti mzuri kama yule ni wa kuachwa?
 
Arudishiwe nafasi yake
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Gentleman,
mpaka zitolewe tuhuma za wazi dhidi yake, maana yake alishasitiriwa sana kwa kwa heshima dhidi ya tuhuma kama hizo kwa kificho.

Lakini pengine muungwana hakujali heshima hiyo aliyopewa na uongozi, na badala yake akaendeleza tabia ya alichotuhumiwa nacho kabla na matokeo yake ndio haya sasa, kwamba waliokusitiri kabla hawata jiuliza tena zaidi ya mara dhidi ya tuhuma zilezile walizokukanya nazo awali kwa sitara, ispokua kuchukua hatua muafaka ya kukuweka pembeni au kukubandua uongozini

na hivyo ndivyo uongozi unavyopaswa kua 🐒
 
Gentleman,
mpaka zitolewe tuhuma za wazi dhidi yake, maana yake alishasitiriwa sana kwa kwa heshima dhidi ya tuhuma kama hizo kwa kificho.

Lakini pengine muungwana hakujali heshima hiyo aliyopewa na uongozi, na badala yake akaendeleza tabia ya alichotuhumiwa nacho kabla na matokeo yake ndio haya sasa, kwamba waliokusitiri kabla hawata jiuliza zaidi ya mara dhidi ya tuhuma zilezile walizokanywa nazo awali kwa sitara, ispokua kuchukua hatua muafaka ya kukuweka pembeni uongozini

na hivyo ndivyo uongozi unavyopaswa kua 🐒
Kwamba alipewa nafasi bila ya kufanyiwa vetting?

Last time I checked, BAKWATA ni taasis ya Serikali
 
Kwamba alipewa nafasi bila ya kufanyiwa vetting?

Last time I checked, BAKWATA ni taasis ya Serikali
that's completely not correct and of course those are wrong allegations.

But the getleman deserved the position but his individuals weakness costed him.

Bakwata baing a government institution, that not true and it's completely wrong narrative 🐒
 
Hakika lazima tuhuma zithibitike kwanza, kuna DNA na je alikuwa na ndoa ama la
HNXbHJ9WYAAhYBr.jpeg

Kama tuhuma yenyewe ni hii, jamaa alioa Kihalali na anaclaim mtoto si wake anataka DNA sioni controversy yoyote hapa.
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Mi ntatofautiana na wewe kidogo mkuu.

Nataka nikuulize: je tuhuma hizo zikithibitishwa atastahili mjadala gani mwingine ili kuendelea kumsafisha?

Kiongozi yeyote wa kijamii hatakiwi kunyooshewa kidole kwa kashifa ya namna yoyote ile.

Utamaduni wa uwajibikaji hapa Tz sasa umeanza kuonekana kama dhambi na ndiyo maana hata viongozi wa kitaifa wanapoingia kwene tuhuma za kashifa kubwa hawataki kuwajibika kwa madai mepesi kama haya ya 'ushahidi wa tuhuma'!

Unamtetea Walidi pekee, mbona sijakusikia kuwatetea wale wengine wawili waliotumbuliwa naye?

Je wao walithibitishwa tuhuma zao ndiyo wakatumbuliwa?

Tumeshaona na kusikia namna viongozi wa dini zote wakikumbwa na kashifa za kingono, ukatili pamoja na ubadhirifu wa rasilimali.

Je bashasha za kwenye mimbari na muonekano wa mtu, ndizo zinatosha kumpi maatendo yake ya sirini?

Mkuu, mbona suala hili mnalivalia sana njuga kama lile la Heche wa Cdm, kuna nini nyuma ya pazia?
 
Back
Top Bottom