Mimi si mbaguzi lakini sina imani na wahindi

Hivi yule alieuwa raia pale south beach resort kigamboni kesi inaendelea au ndo keshamalizana na familia ya marehemu kimyakimya?
 
Halafu hawa jamaa wanakasumba moja wakiwaajiri watu zaidi ya watatu! Atamwambia kila mfanyakazi kua wewe mimi nakulipa mshahara zaidi ya Juma kwahiyo veve chunga yeye mnajikuta mnachungana huku hamjijui! Dam Indian!!!! Wewe unazania Nduli Idd Amin aliwatosa kwanini?
 
Wanaobisha humu ndani kuwa wahindi si wabaguzi ni ma-****
mimi binafsi, watu walikuwa wakiongelea wahindi vibaya, nilikua naona wao ndo wabaguzi. niliwapenda sana wahindi ndo maana niliamua kusoma india.

MImi nimesoma India zaidi ya miaka 4. nawafahamu wahindi nje na ndani. NI KWELI KABISA WAHINDI NI WABAGUZI.
Mbali na ubugazi WAHINDI hawana utu kabisa. Ni wanafiki na hupenda kujipendekeza ukiwa na mali, kwa sababu wahindi wanapenda sana hela,
ukiwa maskini, wahindi wanakuona kama mbwa...

Nina Evidence nyingi sana kwa experience ya maisha yangu ya india. Ndo maana kila siku napinga swala la wadogo zetu kwetu india kusoma.
kuna madogo walichomewa nyumba yao India, kisa ubaguzi.

Wahindi si watu, kabisa... "madada zetu wale wanaojifanyaga wapenda pesa za kuhongwa, kule india walikuwa wanafanyiwa unyama sana".. nadhani mmenielewa. nina mifano mingi sana.

Kiufupi sipendia wahindi kabisaaa angalieni hata waTZ wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kihindi hapa Tz wanavyo nyanyaswa. ma-house girl, ndo kabisa wanachukuliwa kama mbwa. Jamani wahindi sio watu

kuhusu wao kujipendekeza ukiwa na mali, si hata wabongo wengi wako hivyo? tz ndugu mwenye pesa ndo anasikilizwa. Au ulikataliwa na mademu wengi wa kihindi nini ndo maana povu linakutoka, hlf wabongo wengine wanaokaa huko india ni wasumbufu..kufungulia mziki mkubwa ni wao, kulewa sana ni wao hlf wana-disturb neighbors kwann wasipigwe?

Wahindi wao wenyewe kwa wenyewe wanabaguana ndo iwe wewe mwafrika collezione
 
Dah... Mbona wako poa tu.... Na hata kuwabandua wanabandulika tu.... Woga wenu tu
 
Kimtizamo nafanana na mleta mada.

Kwakweli hizi race mbili za wahindi na waarabu siwafeel kivile kutokana na hayo aliyoeleza mleta mada.

At least waarabu kidogo tunachangamana nao huku Kitaa nasema at least Ila sio wote .

Ila wahindi ndo kabisaaa huwa siwakubali .
 
Wahindi pia ni wahujumu wakubwa wa uchumi,wakikutana na viongozi wenye njaa na wasio na uzalendo huwa laghai na kuwaingiza kwenye mikataba hatarishi
 
Back
Top Bottom