Kuna kosa umelifanya ila ukijerekebisha mtaishi vizuri. Katika ndoa ili muishi vizuri suala la elimu weka pembeni, ukifika nyumbani mastaz yako iache mlangoni. Ukitoa mifano toa ya kawaida, usianze unajua kuna PHILOSOFA mmoja au kuna PROFESA mmoja hapo ndoa itakuwa ndoana. Pangeni mambo yenu kwa kushirishana, cha msingi mfanye ajiamini kuwa wewe ni wake. Hata akikosea mrekebishe usihusishe kukosea kwake na elimu yake
ndio mkuu. kama yko ya buguruni kwenye madanguro
Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.
Nawasilisha.
hilo nalo neno unaweza kuwa na elimu ya darasani ukakosa elimu ya maisha
Ndugu yangu,Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.
Nawasilisha.
Ndugu yangu,
Ingawa wanasema mapenzi hayana mipaka, lakini linapokuja swala la kiwango cha elimu, si vizuri mkapishana sana.Thread kama hii iliwahi kuletwa hapa na nilichangia kwa kusema hivi.
Kama msichana ni wa darasa la saba, basi awe amesoma shule ya msingi ya mjini na sio ya kijijini.
Hili ndilo swali la msingi zaidi....:llama::llama:Kwani via (viungo) vyenu vya uzazi vina elimu gani?
Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.
Nawasilisha.
Kama hivo afadhali.amesoma mujini tanga