Mimi nina masters nataka kuoa Darasa la saba

mambo ni ya kawaida sana. Oanisha fikra zako na kitendo ulichofanya na unachotaka kukifanya. Unaposema"sasa nimepata kabinti kalikoishia darasa la saba". Kwa fikra zako...wew ni tembo na uanataka kushare na sismizi...uwe mwalimu na kiongozi wake kwa kila kitu. Mfunze vile unavotaka awe. Futa akilini mwako iyo dhana ya dharau uliyonayo kwake kwamba ni "kabnt kalikoishia", utafurahia maisha ya wawili.

Ninapofikiri kuwa unatabia ya dharau kwa mtu unayetaka kushare naye maisha...nakuchukia. Vingnevyo achana naye...ukamtafute utakayemzungumzia kwa mizani ya heshima. Acha dharau bro.

nisamehe sana. Lkn siko hivyo unavyonifikiria. Ila yeye ndio anamashaka na mimi labda sitamtendea vyema kwa gap hilo la elimu. Na mara zote namuweka sawa kwamba kinachotakiwa ni kusikilizana tu.
 
ACHA DHARAU BRO. Huwezi kwa elimu uliyoitaja kuwa nayo, ukamuelezea binti unayetaka kushare naye maisha kama" kabinti kalikoishia darasa la saba". Maana yake wew si kiongozi mzuri...na uyo utamuacha ...source ni dharau zako.

Rekebisha mtazamo wako kwa mwanamke yeyote unayetaka kushare naye maisha...itakusaidia. Vingnevyo...usifanye hivyo sasa...subiri akili yako ipoe....UTAMUUMIZA UYO BINT KAMA HUNA BUSARA.
 
Naye ataibuka na h/boy,muuza genge nk na kwa IQ yake ajui kukataa akio?bwa anatoa tuu akijua napendwa!
 
suala la ndoa na elimu vitu viwili tofauti cha muhimu akili yako tu katika maisha maana suala la kusoma linguine, na akili ya maisha ni jambo lingine!!!!!!!!!!!!
 
jaman wanajamvi nipeni mawazo yenu. kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. mie ni muislam. nilioa primary ticha nikaachana nae baada ya kubaini anafanya ngono na afisa taaluma wa jiji. sasa nimepata kabinti kalikoishia darasa la saba. nipeni uzoefu haya maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu???!!
NAWASILISHA....

Umalaya ni silka ya mtu tu haijalishi amesoma au hajasoma. Na kwenye ndoa kikubwa ni kuvumiliana kwa hiyo ni juu yako kuamua ni makosa/mapungufu yapi unaweza kuyavumilia kwa mwenza wako. Unaweza oa huyo darasa la saba akawa anagawa tu na anaweza pia akawa ni mwanamke anayejiheshimu. Kimsingi kwenye mahusiano elimu sio kigezo muhimu sana kwa sababu hatuendi shule ili tuje tuwe na mahusiano mazuri kwenye ndoa, tunaenda shule ili tuwe na maisha mazuri.

Nina mifano miwili hai. Mimi ni PhD candidate na mke wangu ni darasa la saba, kuhusu uaminifu namuamini asilimia 800, lakini moto unaniwakia kwenye mambo mengine kiasi kana kwamba ndoa haiko stable kabisa.

Halafu kuna jamaa nafanya nae kazi sehemu moja (PhD candidate) alizaa na mwanamke (elimu yake darasa la saba) watoto wawili halafu akaamua kuishi na mwingine. Kabla hajaanza kuishi na huyo tulimshauri sana angeishi tu na huyo aliyezaa nae akakataa. Sababu yake ni kwamba alikuwa anataka mwanamke ambae watakuwa wakiongea lugha moja (upeo unaofanana). Kwa mfano wakiongea kuhusu escrow au katiba au anything trending wawe wanaelewana. Kwa hiyo alikuwa anataka mtu walau aliyefika form six. Akampata mwanafunzi wa chuo kikuu (sasa hivi ashamaliza) wakaanza maisha. Huo moto wake! Mpaka anataka kukimbia nyumba. Mkewe akiwepo home yeye anarudi saa sita usiku kila siku, mkewe akisafiri yeye anarudi home saa 12 jioni kila siku mpaka mkewe atakaporudi. Maana yake ni kwamba, anapenda kuwahi kurudi home lakini mwanamke ndio anamfanya asirudi mapema. Ameapa hatuji kumwona altareni eti anahalalisha hiyo ndoa. Na tayari wana mtoto mmoja!

Kimsingi kama umeridhika na tabia zake oa tu kuhusu elimu mnaweza hata kuendelezana baadae, siku hizi opportunities za kuongeza elimu ni nyingi. Cheers!!!
 
Huyo wa la saba akikutana na mashangingi ya jiji utalia. Waendesha bodaboda wafyatua tofali wauza bucha wrote wake. Angalia tu mwanamke msomi anayejitambua.
 
ACHA DHARAU BRO. Huwezi kwa elimu uliyoitaja kuwa nayo, ukamuelezea binti unayetaka kushare naye maisha kama" kabinti kalikoishia darasa la saba". Maana yake wew si kiongozi mzuri...na uyo utamuacha ...source ni dharau zako.

Rekebisha mtazamo wako kwa mwanamke yeyote unayetaka kushare naye maisha...itakusaidia. Vingnevyo...usifanye hivyo sasa...subiri akili yako ipoe....UTAMUUMIZA UYO BINT KAMA HUNA BUSARA.

nimeshaomba msamaha ndugu. mbona nawewe sio muelewa? pia nimesema sipo unavyonifikiria
 
Mapenzi/ndoa sio kati ya madarasa....ni zaidi ya shule.

Tatizo kubwa ninalotarajia hapo ni insecurity ya mke.....ukiweza kumfanya akawa na uhakika ndani ya ndoa unaweza kuwa na ndoa ya furaha tu. Insecurity inaweza kumfanya akawa na vitu vya ovyo kama ushirikina.
 
Umalaya ni silka ya mtu tu haijalishi amesoma au hajasoma. Na kwenye ndoa kikubwa ni kuvumiliana kwa hiyo ni juu yako kuamua ni makosa/mapungufu yapi unaweza kuyavumilia kwa mwenza wako. Unaweza oa huyo darasa la saba akawa anagawa tu na anaweza pia akawa ni mwanamke anayejiheshimu. Kimsingi kwenye mahusiano elimu sio kigezo muhimu sana kwa sababu hatuendi shule ili tuje tuwe na mahusiano mazuri kwenye ndoa, tunaenda shule ili tuwe na maisha mazuri.

Nina mifano miwili hai. Mimi ni PhD candidate na mke wangu ni darasa la saba, kuhusu uaminifu namuamini asilimia 800, lakini moto unaniwakia kwenye mambo mengine kiasi kana kwamba ndoa haiko stable kabisa.

Halafu kuna jamaa nafanya nae kazi sehemu moja (PhD candidate) alizaa na mwanamke (elimu yake darasa la saba) watoto wawili halafu akaamua kuishi na mwingine. Kabla hajaanza kuishi na huyo tulimshauri sana angeishi tu na huyo aliyezaa nae akakataa. Sababu yake ni kwamba alikuwa anataka mwanamke ambae watakuwa wakiongea lugha moja (upeo unaofanana). Kwa mfano wakiongea kuhusu escrow au katiba au anything trending wawe wanaelewana. Kwa hiyo alikuwa anataka mtu walau aliyefika form six. Akampata mwanafunzi wa chuo kikuu (sasa hivi ashamaliza) wakaanza maisha. Huo moto wake! Mpaka anataka kukimbia nyumba. Mkewe akiwepo home yeye anarudi saa sita usiku kila siku, mkewe akisafiri yeye anarudi home saa 12 jioni kila siku mpaka mkewe atakaporudi. Maana yake ni kwamba, anapenda kuwahi kurudi home lakini mwanamke ndio anamfanya asirudi mapema. Ameapa hatuji kumwona altareni eti anahalalisha hiyo ndoa. Na tayari wana mtoto mmoja!

Kimsingi kama umeridhika na tabia zake oa tu kuhusu elimu mnaweza hata kuendelezana baadae, siku hizi opportunities za kuongeza elimu ni nyingi. Cheers!!!

asante sana okon. nimekuelewa sana. huyu ana hofu na mungu. ananifaa nitamuoa mwezi wa 3.
 
Jana nilikuwa nimelewa,
Btw kesho my birthday nitakie hata wishes kabla
Hahahaaaaaa, we Viol hufai kabisa! kumtetea kote huko shy land kwa upuuzi wake leo unajifanya ulikuwa umelewa? Acha hizo mkuu!
But, nimefurahi sana kwa kuwa na birthday kesho, kwani nina kijana wangu naye pia ni birthday yake kesho! Mwenyezi Mungu awabariki sana muwe na afya njema pamoja na mafanikio maishani mwenu!
HAPPY BIRTHDAY TO YOU GUYS!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo wa la saba akikutana na mashangingi ya jiji utalia. Waendesha bodaboda wafyatua tofali wauza bucha wrote wake. Angalia tu mwanamke msomi anayejitambua.
Vipi kwani wewe tayari? Mi naona sifa zote unazo sema jamaa anazunguka kwingine tu! kipusy, Mamndenyi umeshaongea naye!? Koh koh koh koh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom