Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,728
- 16,446
🤔🤔. Mambo ya kiroho, ulimwengu usiotegemea mwili na nyama, kuuthibitisha upo au aupo inabaki kuwa nadharia tu kwenye ulimwengu wa mwili na damu, ni 50/50
Wewe mwenyewe unaweza kumuumba shetani au Mungu kwenye akili yako. Matendo mabaya ni ushetani na matendo mazuri ni umungu.Shetani hayupo wala hakuna kitu kama hicho watu walitafuta sehemu ya kujifichiaa.
Ooh ni shetani tuu hakuna kitu
Nani anamla?Shetani yupo....tena za ndaaani shetani ni wa kike
Cc Mshana Jr
Yeye ndio anatula sisi wanaume kwa wanawakeNani anamla?
Kabisa
Labda anakukula wew sio mimiYeye ndio anatula sisi wanaume kwa wanawake
"Then I saw a second beast, coming out of the earth. It had two horns like a lamb, but it spoke like a dragon." - Revelation 13:11 (NIV)