Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

mbona kama ww ndo shetani mwenyewe au nimeangalia vibaya???


nb je wema na ubaya upo au haupo?

kama upo nani aliyekwambia huu ni wema na huu n ubaya

walitumia vigezo gani kusema huu n wema na huu n ubaya

na kwanini ubaya usipongezwe na wema ukaadhibiwa ( walitumia kigezo gani kutoa adhabu kwa ubaya na mabaya na wema wakaacha kutoa adhabu)

tafakari...."
Hii mada nyingine. Kuwa na wema na ubaya ni nature mfano ukimpiga mwenzako huo ni ubaya..ukimsaidia yatima au asiyejiweza ni ubinadamu au wema.
 
Na Mungu pia ni SCAM.

Huwezi kuamini Mungu, halafu usiamini Shetani.

Mungu na Shetani wote ni Fictional characters.

Mungu na Shetani wote ni SCAM.

They don't exist.

Hawapo.

Hakuna Mungu.

Hakuna Shetani.
Umeongeza mjadala tujikite kwa shetani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom