Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,465
Reaction score
27,540
Nashindwa kuelewa.

Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake?

Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara?

Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu Wala kishetani?

I
 
Ni kitu cha kawaida sana wala haihitajiki kupigia watu kelele sana wajue kuna mvua kubwa itanyesha. Kama kuna watu wamejenga mabondeni ni kukosa akili za kimazingira. Wazee wetu walichagua sehemu muafaka kujenga nyumba, hawakujenga mabondeni na kwenye njia za maji
 
El Niño inatokana na ongezeko kubwa la joto la uso wa bahari katika eneo la kati na mashariki mwa Bahari ya Pasifiki karibu na Ikweta
 
Nimeuliza maana Kuna baadhi ya viongozi wa Dini wanasema waombe isiwepo
 
El Niño inatokana na ongezeko kubwa la joto la uso wa bahari katika eneo la kati na mashariki mwa Bahari ya Pasifiki karibu na Ikweta
ile ya 1997/98 walisema ni athari ya kubadilika kwa mkondo wa hali ya hewa bahari ya atlantiki na kusababisha mvua kubwa misitu ya congo, mvua ikaelekea afrika mashariki na ukanda wote wa bahari ya hindi. leo hii tena mnasema bahari ya pasifiki. Elezeni el nino ni kitu gani hasa, tangu kale ilitokea mara ngapi hadi sasa?
 
Hata huko kwingine majanga yanakotokea wanakuwa wameomba na kukemea! Lakini yanatokea.
 
Kuna wahuni watakuja kukuuliza Mungu yupi ? Kama yupo atataka watu wake waangamie?
 
Hata kama labda Dunia iliumbwa ila ukweli ni kwamba Dunia inajiendesha yenyewe kwa mchakato ya asili kwa sasa,
 
Back
Top Bottom