Kuachwa kuachwaaa kuachwa ni SHUGHULI PEVUUUU...mbaya zaidi kwa yule ulompenda wewe una...........basi malizia kawimbo......
Mhhh me nishaacha 2,nkaachwa 2..ngoma draw..
1.alisema LIFE IS A GIGANTIC BOOK with many pages,explore it...uuh nlichoka...
2.Moyo unaniuma,japo nishamuomba msamaha,we r in good terms kiasi chake,nlimwambia 'am js not happy anymore'...skujua km ananpenda hadi after brkup dah,dunia hadaa...
3..hehehhehe KISANGAA,BAD NEWSS..alisepa kimya kimya af alikuwa handsome ajeee ka Van vicker,full intro kwa rafiki zangu,nlidata,KIDOGO LAKINI,am over t now..
4.na me nliishia zangu silently,kaja kunkuta tu sehemu na 'Toleo jipya' akawa speechless mana matunzo zero af alijiona siwezi muacha,....
Uhhh,i hope the next guy is my hubby mana mhh,mambo ya what's ur number siyataki mie