Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

we naweee,hili jesh lina sera za kisasa???unaemdanganya hapa nani???nenda kaunta ya kituo chochote cha polis halaf niambie umekuta kuna desktop ngap?????uje tuambie hapa hata december mwaka huu uje useme umekuta walau desktop ngap???,na uingie ofis za wakuu wa vituo uniambie umekuta wakuu wangap wa vituo desktop zao zinafanya kaz na zipo connected na internet,,,,

Ndo maana nasema wewe una matatizo yako binafsi. Na huna taarifa sahihi. Kuna baadhi ya mikoa ambapo wako connected na wireless internet. Ni wewe kuwa na pasword unapata huduma ya mtandao kabisa.

Kama mkoani uliko hawajaunganishwa, usiseme ni mikoa yote. Nenda polisi mwanza pale hata smart phone itakupa alert za wireless internet
 
PhD holder unafanya nini jeshi la polisi,tena la Tanzania waratibu wa ujambaz na unyang'anyi pamoja na kubaka,,,,,kwanza utashindwa kuifanyia kazi maana mostly wanaokuzunguka either hawatathamini ua PhD au hawajafika walau kidati cha 6

Nasisitiza una matatizo yako binafsi. Ulitaka awe wapi? Tinailalamikia kila siku kuharibu kwenye chaguzi na sababu tunazotoa hawakusoma. Leo unatajiwa mwenye phd unasema anafanya nini huko? Huoni kama wewe ni tatizo? Haya ulitaka wawepo watu gani?

Na je changamoto za uhalifu wa sasa watazitatua kwa kuwa na watu gani? Na siyo pekee, kuna mmoja ni mhimu sana kwenye shule ya sheria udsm bado ni police.

Kwa taarifa tu, Dr. Enos Robert Lukyaa-Phd, yupo Israel for a study tour. Tutarajie maendeleo ya jeshi la polisi kupitia yeye. Wala usimkatishe tamaa
 
we naweee,hili jesh lina sera za kisasa???unaemdanganya hapa nani???nenda kaunta ya kituo chochote cha polis halaf niambie umekuta kuna desktop ngap?????uje tuambie hapa hata december mwaka huu uje useme umekuta walau desktop ngap???,na uingie ofis za wakuu wa vituo uniambie umekuta wakuu wangap wa vituo desktop zao zinafanya kaz na zipo connected na internet,,,,

me naomba nikuache maana nahisi we ni muha ubishi mwanzo mwisho, kwan uwepo wa desktop ndo kuashiria usasa?😱
 
Daniel M polisi wapo na kila mwaka wanatengewa bajet ndo wala rushwa,ndo wanaolinda mtandao wa uhalifu,,,,unadhan polis hawawajui wauza unga wa kinondoni????yaan kuna scenareo nyingi naweza kukupa hapa ili kuonesha kuwa polisi ni majambaz wanaovaa sare,,,,hata uwe msafi mfumo wa jesh la polis utakubadilisha,,,,

sasa hayo ya rushwa ni masuala ya nchi nzima, mbona tuna wizara ya ujenzi yenye wahandisi waliobobea lakini tunajenga barabara za kiwango cha chini😎
 
Last edited by a moderator:
Mentor hiyo kesho ni ya tarehe ngapi?

nafikiria kuandamana
 
Last edited by a moderator:
PhD holder unafanya nini jeshi la polisi,tena la Tanzania waratibu wa ujambaz na unyang'anyi pamoja na kubaka,,,,,kwanza utashindwa kuifanyia kazi maana mostly wanaokuzunguka either hawatathamini ua PhD au hawajafika walau kidati cha 6

We jidanganye hivyo hivyo, wengi siku hizi wamesoma sana tu
 
Daniel M polisi wapo na kila mwaka wanatengewa bajet ndo wala rushwa,ndo wanaolinda mtandao wa uhalifu,,,,unadhan polis hawawajui wauza unga wa kinondoni????yaan kuna scenareo nyingi naweza kukupa hapa ili kuonesha kuwa polisi ni majambaz wanaovaa sare,,,,hata uwe msafi mfumo wa jesh la polis utakubadilisha,,,,

Mkuu unajua wewe kuwafaham wahalifu halafu unaacha wanatamba huitendei haki nchi yako? Kamanda Nzoa kawakamata wauza unga wengi sana bado unaona.anatunza wauzaji? Hebu nenda umpe taarifa za maana uone kama hatofanya kazi yake
 
Last edited by a moderator:
Maisha yaliendelea hadi siku hii ya 07/08/2001. Nilipangwa lindo kwa Waziri mmoja ambaye kwa minajili ya maadili ningeomba nisimtaje jina wala wadhifa.

Kupangwa lindo kwa viongozi kulikuwa na faida na hasara zake. Kulikuwa na viongozi waliokuwa na utu sana. Kama mmepangwa jioni mtaandaliwa maji ya kuoga, chakula cha jioni na mnakuta chumba chenu cha ulinzi (centry box) kimepulizwa dawa ya mbu na kufanyiwa usafi na asubuhi mnapewa chai kabla hamjaondoka.

Sitaongelea kwa waziri mmoja hivi ambaye ukifika kwake hata salamu haji kuwapa, hakuna huduma yeyote ila sasa uchelewe kufika dakika moja tu kesi yake utaisimulia.

07/08/2001…Jumanne

Siku hii nilipangwa lindo kwa mheshimiwa waziri huyu. Ilikuwa lindo la asubuhi. Kama kawaida na sheria, inatubidi tufike eneo la lindo robo saa kabla ya muda wa lindo. Na kawaida yangu nilikuwa napenda sana kutunza muda. Hata askari wenzangu walikuwa wakijua na wengi walikuwa wakifurahi ukipangwa lindo ambalo Mentor ndiyo anakuja kuku-leave unafurahi kwani una uhakika wa kuondoka kazini kwa muda.

Tulifika nyumbani kwa waziri saa 05:45 asubuhi na kukabidhiana lindo na kisha kuanza kuzunguka kuhakikisha kote ni salama.

Ni hadi ilipofika saa kumi na mbili na nusu asubuhi niliposikia kelele za mtoto akilia. Alikuwa ni mtoto Tina. Tina alikuwa darasa la sita na asubuhi hiyo kama asubuhi nyingi ambazo nimewahi kuwa lindo kwa waziri huyo alikuwa akilia kwa kutokutaka kwenda shule. Mama yake alisikika akimkaripia kuwa avae haraka asijeachwa na basi la shule.

Kalikuwa na akili lakini kalidekezwa sana. Ni wale watoto waliorushwa madarasa kwani pamoja na kuwa darasa la sita alikuwa ameruka darasa la kwanza na la tatu hivyo kihalisia alikuwa mdogo.

Tinna alitoka nje huku akilia; hajavaa tai, viatu, hajabeba begi wala kuchukua ‘lunch box' yake. Nilimuangalia anavyolazimishwa kwenda shule nikakumbuka wakati nipo kijijini. Nilimuonea wivu kwa bahati anayoipata ya kuweza kwenda shule kwa starehe vile. Nilitamani bahati ile ingeniangukia mimi. Nilishindwa kuendelea na shule kwa kuwa mama yangu mjane alishindwa kunilipia ada ya chuo baada ya kushindwa kupata daraja la kwanza hivo kuwa vigumu kupata mkopo wa kusoma chuo.

Mama Tinna alimwita Tinna nje na huku amebeba viatu vyake. Tinna alikuwa akikataa kuvaa viatu akisema hataki kwenda shule.

Ndipo mama yake Tinna alipotamka maneno ambayo hadi kesho hayatokaa yafutike akilini mwangu. Mama Tinna alimshika Tinna kwa nguvu na kisha akamwambia (huku akininyoshea kidole), "Ukikataa kwenda shule utakuja kuwa kama Yule pale."

.
.
.
.

2008, November

Kwa ufupi tu: Nilibahatika kupata ruhusa ya kwenda masomoni mwaka 2006. Nilikuwa nimeomba kwenda kusoma masomo ya Uhasibu na kukubaliwa kujiunga na chuo cha uhasibu cha Arusha (IAA). Niliomba ruhusa kazini na kukubaliwa kuhamia mkoani arusha.

"Hallo mentor" Nilipokea simu kutoka kwa lecturer wangu wa Business Mathematics. Kipindi hiki nilikuwa mwaka wa tatu wa masomo yangu na kwa kuwa nilikuwa na masomo machache muhula huo mwalimu huyu alikuwa akipenda sana kuniomba nimsaidie kusahihisha mitihani/tests za wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Kwa kweli nilipenda hesabu na kufundisha hivyo sikuona shida, nikawa namsaidia.

Aliendelea, "Aisee, nimeamka sijisikii vyema kidogo naomba uende darasa langu la first year ukawasaidie kufanya masahihisho ya test ya juzi."

Itaendelea tena Jumatatu...
 
Nilikuja kujifunza kuwa udhaifu wa mtu mmoja siyo udhaifu wa taasisi. Wakati wapo wengi wasiofuata maadili ya kazi zao, wapo wengine akikuhudumia utafurahi hadi basi.

Wewe utakuwa na matatizo yako maana haiwezekan uwachukie bila sababu ya msingi. Hata viongozi wa vyama vya siasa, leo huwachukia kesho huwasifia. Hivyo ndivyo ilivyo.

nawachukia polisi kwe upuuzi wao,,,,,,na kwa kiasi kikubwa they r not right,,,,matukio ya polisi kuharibu ni mengi kuliko ya kufanya mema,,sasa niwape credit za nin????
 
Mkuu unajua wewe kuwafaham wahalifu halafu unaacha wanatamba huitendei haki nchi yako? Kamanda Nzoa kawakamata wauza unga wengi sana bado unaona.anatunza wauzaji? Hebu nenda umpe taarifa za maana uone kama hatofanya kazi yake

mtu wa kwanza anayepaswa kumpa taarifa nzowa ni yule shemeji alosema ana majina ya wauza unga,,,,,ikiwa kutumia dawa za kulevya ni kosa???mbona ray c ametibiwa na shemeji????mi nikamwambie nini Nzowa?????
 
Mimi ni Polisi: Kisa cha Mke wa Waziri

"Yanyukwe....Yakobolewe" (hii iliashiria kupiga makofi)

"Ipo siku moja nitarudi nyumbani, kwa baba na mama nikiwa kamanda… (repeat)"

Weka changer…

"Mama nipokee, nimechoka zangu na safari, nimetoka zangu Msumbiji na bunduki yangu mkononi mama..(rudia kiitikio)"

"Malela! Malela! Malela (Malela)…Malela! Malela wangu namtafuta! Nimesikia Malela yupo Tabata, Malela! Malela! Malela wangu namtafuta"

Badilisha CD hiyo hatujafiwa hapa…

"Isamawela, isamawela..Isamawela Isamawela (isamawelaaa);
Tutamaliza, tutamaliza..tutamaliza, tutamaliza… (huu wimbo una-emotion jamani)"

"Ugonile ndaga (ugonile ndaga fijo) ugonile ndaga (ugonile ndaga fijo)
Ugonile ndaga fijo (ugonile ndaga fijo)

Wanyakyusa wosa (ugonile ndaga fijo)..ugondile ndaga fijo (ugonile ndaga fijo)
NA wapare/wachaga/wakurya/wajita/wasukuma/insert tribe (ugonile ndaga fijo)…ugonile ndaga fijo (ugonile ndaga fijo)"

"Mama Jeniii mamaa (mama Jeni), Mama Jeni (mama Jeni) ouoo (Mama Jeni)…;

Mama Jeni nitarudi (Mama Jeni), Mama Jeni (mama Jeni) ouoo (Mama Jeni)…"

"Mama bonge (eeh), hebu sikia (eeh) mwanao bonge (eeh) anavyolia;
Alizoea (eeh) chipsi mayai (eeh) soda bagia (eeh) na mishikaki;
Akaja depo (eeh) kuamka sa nane (eeh) ugali harage (eeh) bila kuungwa;
Na sasa boongeee..;
Bonge analia bonge (jamani bonge) bonge analia bonge…"

Ilikuwa tarehe 31/12/2011 usiku tukiupokea mwaka mpya wa 2012 tukiwa porini huku kuruta wakiendelea mafunzo yao ya kujiunga na Jeshi la Polisi (recruit course) mimi nikiwa kama Mkufunzi. Ulikuwa ni mkesha bila kupenda. Hapo kuruta walipiga disko kuanzia saa moja jioni hadi mwaka ulipoingia.

Nakumbuka mchana wa siku hiyo kuruta walipikiwa pilau ambayo kila mtu alitamani wangekula tu ugali kwani liligombaniwa na wala hawakushiba. Sisi tu waalimu kuwasimamia ilikuwa kama fatiki, hawazuiliki.

Mida ya kama saa nne niligundua wameanza kuchoka na sauti zinafifia nikawaambia wanyamaze nikawahadithia kisa kilichonikuta miaka ya mwanzo wa ajira yangu.

07[SUP]th[/SUP] August 2001, Dar es salaam

Baada ya kumaliza depo nilipangiwa kufanya kazi mkoa wa Dar es salaam. Nilikuwa kikosi cha FFU na hivyo kazi yangu kubwa ilikuwa malindo na kuzuia fujo, ingawa kwa kipindi kile nikiwa Dar sikupata kushiriki sana kwenye kazi hiyo ya kuzia fujo. Moyoni nilikuwa natamani sana ningebahatika kwenda maana nilikuwa natamani niwapige virungu wale waliokuwa wakituita sisi ‘darasa la saba'.

Mimi nilijiunga na Jeshi la Polisi kwani ndiyo ilikuwa ndoto yangu. Tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana sare zao na magwaride yao na kwa kuwa nilikulia maeneo ya Moshi nilihakikisha nahudhuria sherehe zote za kipolisi ambazo zilifanyika pale CCP.

Nilifanikiwa kujiunga na Jeshi hili mara baada ya kumaliza kidato cha Sita. Nilipata daraja la pili katika masomo yangu ya ECA hivyo nikakosa fursa ya kusomeshwa kwa mkopo wa serikali. Kwa bahati mbaya wazazi wangu pia hawakuwa na uwezo wa kunilipia ada ukizingatia nilikuwa nikipenda sana kusoma masomo ya biashara.

Kwa ufupi ilinibidi nijiunge na Jeshi la Polisi ila moyoni sikukata tamaa nikajiambia ipo siku nitakuja kusoma masomo hayo ya biashara.

Maisha yaliendelea hadi siku hii ya 07/08/2001. Nilipangwa lindo kwa Waziri mmoja ambaye kwa minajili ya maadili ningeomba nisimtaje jina wala wadhifa.

Kupangwa lindo kwa viongozi kulikuwa na faida na hasara zake. Kulikuwa na viongozi waliokuwa na utu sana. Kama mmepangwa jioni mtaandaliwa maji ya kuoga, chakula cha jioni na mnakuta chumba chenu cha ulinzi (centry box) kimepulizwa dawa ya mbu na kufanyiwa usafi na asubuhi mnapewa chai kabla hamjaondoka.

Sitaongelea kwa waziri mmoja hivi ambaye ukifika kwake hata salamu haji kuwapa, hakuna huduma yeyote ila sasa uchelewe kufika dakika moja tu kesi yake utaisimulia.

07/08/2001…Jumanne

Siku hii nilipangwa lindo kwa mheshimiwa waziri huyu. Ilikuwa lindo la asubuhi. Kama kawaida na sheria, inatubidi tufike eneo la lindo robo saa kabla ya muda wa lindo. Na kawaida yangu nilikuwa napenda sana kutunza muda. Hata askari wenzangu walikuwa wakijua na wengi walikuwa wakifurahi ukipangwa lindo ambalo Mentor ndiyo anakuja kuku-leave unafurahi kwani una uhakika wa kuondoka kazini kwa muda.

Tulifika nyumbani kwa waziri saa 05:45 asubuhi na kukabidhiana lindo na kisha kuanza kuzunguka kuhakikisha kote ni salama.

Ni hadi ilipofika saa kumi na mbili na nusu asubuhi niliposikia kelele za mtoto akilia. Alikuwa ni mtoto Tina. Tina alikuwa darasa la sita na asubuhi hiyo kama asubuhi nyingi ambazo nimewahi kuwa lindo kwa waziri huyo alikuwa akilia kwa kutokutaka kwenda shule. Mama yake alisikika akimkaripia kuwa avae haraka asijeachwa na basi la shule.

Kalikuwa na akili lakini kalidekezwa sana. Ni wale watoto waliorushwa madarasa kwani pamoja na kuwa darasa la sita alikuwa ameruka darasa la kwanza na la tatu hivyo kihalisia alikuwa mdogo.

Tinna alitoka nje huku akilia; hajavaa tai, viatu, hajabeba begi wala kuchukua ‘lunch box' yake. Nilimuangalia anavyolazimishwa kwenda shule nikakumbuka wakati nipo kijijini. Nilimuonea wivu kwa bahati anayoipata ya kuweza kwenda shule kwa starehe vile. Nilitamani bahati ile ingeniangukia mimi. Nilishindwa kuendelea na shule kwa kuwa mama yangu mjane alishindwa kunilipia ada ya chuo baada ya kushindwa kupata daraja la kwanza hivo kuwa vigumu kupata mkopo wa kusoma chuo.

Mama Tinna alimwita Tinna nje na huku amebeba viatu vyake. Tinna alikuwa akikataa kuvaa viatu akisema hataki kwenda shule.

Ndipo mama yake Tinna alipotamka maneno ambayo hadi kesho hayatokaa yafutike akilini mwangu. Mama Tinna alimshika Tinna kwa nguvu na kisha akamwambia (huku akininyoshea kidole), "Ukikataa kwenda shule utakuja kuwa kama Yule pale."

.
.
.
.
.
.
2008, November

Kwa ufupi tu: Nilibahatika kupata ruhusa ya kwenda masomoni mwaka 2006. Nilikuwa nimeomba kwenda kusoma masomo ya Uhasibu na kukubaliwa kujiunga na chuo cha uhasibu cha Arusha (IAA). Niliomba ruhusa kazini na kukubaliwa kuhamia mkoani arusha.

"Hallo mentor" Nilipokea simu kutoka kwa lecturer wangu wa Business Mathematics. Kipindi hiki nilikuwa mwaka wa tatu wa masomo yangu na kwa kuwa nilikuwa na masomo machache muhula huo mwalimu huyu alikuwa akipenda sana kuniomba nimsaidie kusahihisha mitihani/tests za wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Kwa kweli nilipenda hesabu na kufundisha hivyo sikuona shida, nikawa namsaidia.

Aliendelea, "Aisee, nimeamka sijisikii vyema kidogo naomba uende darasa langu la first year ukawasaidie kufanya masahihisho ya test ya juzi."

Itaendelea tena Jumatatu...
 
We jidanganye hivyo hivyo, wengi siku hizi wamesoma sana tu

sasa wamesoma wanafanya lipi mdau???ndo nimesema tembelea kaunta za polisi angalia vitendea kazi vyao,.......polisi wetu wengi ni wezi na majambaz,,,,hili tukio la wiki hii la Barclay mpaka jana wanaripot wanasema mpaka vigogo wa POLISI wamo na wanahojiwa,,,,,polisi wadogowadogo kadhaa wamehojiwa walilamba mil 20 miongon mwao,,,,polisi au jesh letu bado linaendeshwa kienyeji sana tu
 
nawachukia polisi kwe upuuzi wao,,,,,,na kwa kiasi kikubwa they r not right,,,,matukio ya polisi kuharibu ni mengi kuliko ya kufanya mema,,sasa niwape credit za nin????

mentor karudi, endelea kusoma hadithi yake, hao polisi wapo na watakuepo hata usipowapenda
 
sasa hayo ya rushwa ni masuala ya nchi nzima, mbona tuna wizara ya ujenzi yenye wahandisi waliobobea lakini tunajenga barabara za kiwango cha chini😎

so kwakua ujenz wanakula rushwa na polisi wanaruhusiwa???taasisi zinazoongoza kwa rushwa kila tafiti zinapofanywa ni Polisi na Mahakama
 
mentor karudi, endelea kusoma hadithi yake, hao polisi wapo na watakuepo hata usipowapenda

kuwepo wanapaswa kuwepo maana ndo sehem ya ajira wanapaswa wawe na ajira,sijawazuia,,,,,,na sina mamlaka hayo ya kuwazuia na wengi wanaingia kwakua wamefeli au wamekosa fursa nyingine za maana,naona unatoa mishipa kuwatetea afande Daniel
 
me naomba nikuache maana nahisi we ni muha ubishi mwanzo mwisho, kwan uwepo wa desktop ndo kuashiria usasa?😱

hongera kwa kuwa na kazi ya kuwapachika watu makabila,,,zama hizi bado unawaza ishu za ukabila mi si muha mi ni mtanzania tu,,,sasa wewe unadhan jeshi litafanya kaz kwa ufanisi ikiwa halina vitendea kazi,,,haina logic unaenda kutoa maelezo polisi anaandika insha,RB unapewa kipande cha karatas kama cha kufungia bhangi,,,,,makaz yao wanalala kwenye nyumba za mabati,huo ufanis utatoka wapi???
 
Back
Top Bottom