Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

dah nyimbo zimenikumbushs mbali sana kuna ile TAUSI TAUSI
TAUSI
NDEGE WANGU
TAUSI MAMA TAUSI NDEGE WANGU WA MAUSHA YOOOOO

alafu kuna
SHUMBEWELA
SHUMBWELA repet
SHU SHU SHU
SOME TIMES
SOME TIMES
WE ARE HAPPY OYAA YAAA JKT JKT JKT MAMA

dah ilikuwa raha sana
 
Umeisahau ile ya maua aseeee

dah nyimbo zimenikumbushs mbali sana kuna ile TAUSI TAUSI
TAUSI
NDEGE WANGU
TAUSI MAMA TAUSI NDEGE WANGU WA MAUSHA YOOOOO

alafu kuna
SHUMBEWELA
SHUMBWELA repet
SHU SHU SHU
SOME TIMES
SOME TIMES
WE ARE HAPPY OYAA YAAA JKT JKT JKT MAMA

dah ilikuwa raha sana
 
Mentor.......malizia leo ili tujifunze. Lkn nikependa ulivyoingia jeshini ukiwa form six leavers! Wapo watu hadi leo huamini ualim na jeshini hupokelewa waliokata tamaa ya maisha, walioshindwa! Kumbe kuna watu wenye cv babu kubwa wamo majeshini.

Siku moja niliona picha ya kumwaga kamanda barlow, maofisa waliokuwa wamebeba jeneza, yupo bonge mmoja kipindi hicho alikuwa ocd kwimba. Jamaa ni phd holder wa social justice toka makerere university

not makerere, ni chuo flani kikubwa sana USA, jina limenitoka kdg, nilibatika kuisoma kdg thesis yake inahusu masuala ya ugaidi
 
mh! mh! mh!!!!!!!!!! na hapa usije ambiwa kamata huyoooooo!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom