Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mentor Jumatatu ya tarehe 12/05 au ni ipi? Uwe unaweka tarehe bwana. Sasa usije wacha watu kwenue mabalbu. Kwa hasira ile hakika kwa sasa ni lazima utakuwa boss mkubwa mahali kama si kule polisi. Bravo.
 
Mentor weka hiyo kitu kabla sijaenda site porini network huwa siyo nzuri..plzzz
 
Last edited by a moderator:
boya wewe acha kutuchezea

Majukumu jamani ila nitajitahidi kesho niimalizie yote.

On second thought nimegundua ningeiweka yote kwa pamoja ingekuwa ndefu mno mngeboeka ku-follow up
 
halafu kwa taarifa tu.polisi ni binadamu kama mwalimu.ingejua anachokufanya mwalimu aliekuchoka afadhar ya polisi.ungemjua daktar aliemtoa mimba mke wako ukiwa safarini ili dili zakukuibia zakukuibia ziendelee nafkir bora polisi.na hakimu alikyla rushwa kumuumiza mama yako kwenye mirathi kisa wewe nimtoto haram .afadhar polic.ungemjua IT alieiba picha chafu za dada yako na kuzipublish afadhar polis.polis ana mke anaemtaka atimize haja zake kama wewe.anatamani kma watu wengine polis ni binadam
 
Hehhehe Mentor nimemsomaaaa mtoto tina,lols....ukiweza mapema basi malizia story mkuu nimeipenda
 
Last edited by a moderator:
Mentor wape yote washinde JF ili wasiende shule wawe kama YULE PALE!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom