mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,039
Best ntafute nina inshu.
ok...hamna neno
Best ntafute nina inshu.
Mentor tunakusubiri eti maana ulisema leo usije ukasema uko busy kuzuia maandamano ya ukawa.
Hahahaa haaaa
Acha nami niimbe kidogo , Apigwe ee Amini apigwee*2
na ule wa kumalizia kufunga kambi wa Salama salama salama salama tumekuja salama na tutarudi salama au ule wa sifa ya afande Na Mentor ni komandoo lelelee ni komandoo na mentor ni komandoo lelelee ni komandoo*2
kweli nikikumbuka natamani turudi enzi za 70's acha tu jeshi kutam sana
hahahaha jirani pita kwa amani yeye mwenyewe anatumia hiyo makitu lol
Usimlaumu kaitwa dharura na viongozi wake kwenda kuwapiga marungu UkawaMentor mambo ya ntaendelea kesho ndo yananifanyaga nikimbie jukwaa haya.............
je usipofika kesho itakuwaje??
ama utatuitumia ujumbe toka kuzimu??
Oya Arawa weka muendelezo...acha kuzingua
Christine hujambo dada yangu .."....takianeni amani ninyi kwa ninyi"
Mentor.......malizia leo ili tujifunze. Lkn nikependa ulivyoingia jeshini ukiwa form six leavers! Wapo watu hadi leo huamini ualim na jeshini hupokelewa waliokata tamaa ya maisha, walioshindwa! Kumbe kuna watu wenye cv babu kubwa wamo majeshini.
Siku moja niliona picha ya kumwaga kamanda barlow, maofisa waliokuwa wamebeba jeneza, yupo bonge mmoja kipindi hicho alikuwa ocd kwimba. Jamaa ni phd holder wa social justice toka makerere university
not makerere, ni chuo flani kikubwa sana USA, jina limenitoka kdg, nilibatika kuisoma kdg thesis yake inahusu masuala ya ugaidi
Am doing gud bro
Nawe pia
Amani ile ipitayo ya ulimwengu huu iwe nawe pia
Amina iwe nawe pia,maana amani hii ya ajabu hata ukilala njaa naona inakuwepo tu,wasio kuwa nayo full kununiana lakini naona Mentor kuchungulia tu ametoweka tena au alikuwa night nini!!!!!