Nasisitiza una matatizo yako binafsi. Ulitaka awe wapi? Tinailalamikia kila siku kuharibu kwenye chaguzi na sababu tunazotoa hawakusoma. Leo unatajiwa mwenye phd unasema anafanya nini huko? Huoni kama wewe ni tatizo? Haya ulitaka wawepo watu gani?
Na je changamoto za uhalifu wa sasa watazitatua kwa kuwa na watu gani? Na siyo pekee, kuna mmoja ni mhimu sana kwenye shule ya sheria udsm bado ni police.
Kwa taarifa tu, Dr. Enos Robert Lukyaa-Phd, yupo Israel for a study tour. Tutarajie maendeleo ya jeshi la polisi kupitia yeye. Wala usimkatishe tamaa
kama unadhan watu unaowahesabu kuwa watatatua changamoto za Polisi unakosea,mfumo wenyewe wa kuwapeleka vijana CCP si salama,now wanapeleka form mashuleni kwa ajili ya form IV na VI wakajiunge na jeshi,,,,,why wasingekuwa wanachukua degree holders ndo wakaanzie ccp,,,,mpaka ukute polisi mwenye maono ndo anaamua akasome,na mostly huwa wanakataliwa na wakubwa zao kwa sababu ya kutetea nafas zao,,,,maana hawakusoma,zaid ya kozi za kipolisi,,,kwa zama hizi za wizi wa mtandao jeshi uanona limejiandaa kwa dhat kupambana na wizi huo???hapo dsm ni central tu ndo wana unit ya cyber crime,,,nenda Oysterbay ingia vyumba wanavyochukulia maelezo hata panya hawez kuishi,,,,,,,me siongei kwa kubahatisha nachokiandika ndo kipo,na pia kwanin ongezeko la hao polisi wezi,majambaz limekua kubwa?????,,ni kwa sababu wanaona hata wajuu yao hawana maadili,ndo mchezo walioukuta,,,,kusindikiza magendo,kubeba bangi,kubadili vidhibit vya cocaine kuwa sembe la mahindi,,,,,