umekimbia kahama baada ya kupata tetesi kua hatukutak na ungeambulia zomeazomea kilaza wewe,muda mfupi tu umekimbia kurud dar hahahahaha
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.
Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.
Kauzu kweli wewe.
Hiyo pacha ulipatia wapi?
chadema kinatia aibu sana,hebu lema tuambie hyo pancha ndogo ilishindkana kubadili tair kwenda kwenye mkutano?sielew kwa kwel gari ilikua inaenda dar au kahama?
Lema alipata pancha wapi?
Kamanda, Pancha tu ukaahirisha safari? Gari haikuwa na spare tyre!?
"Ukombozi" wa nchi umekuwa lelemama sana!
Huna nafasi kama hiyo ya kumhoji mh lema wewe kilaza
Mimi nilitaka kutuma mchango wa kununua sanda kabisa.
Umekimbia. Kwanini usikodi gari . Ili uwahi mkutanano
Chezea zito.
Na arusha unang"oka
Mkuu tangu watu wanaaza kukusanyika kulikuwa na viongozi wa sehemu husika wa hao watu unaowatlia shaka walikuwa wanapewa taarifa na viongozi husikaKamanda,
Nafikiri kuwa umuhimu wa kuwa na Business Continuity Plan (BCP) katika taasisi yenu. Mmepata pancha mkashindwa kufika Kahama, naamini kuna wananchi huko walikuwa wakiwasubiri kwa hamu but impression mliyoiacha uko wanaweza wakafikiri mmewa-ignore. Kuelekea uchaguzi mkuu mnatakiwa kuwa na BCP, akishindwa Lema au kiongozi yeyote kufika sehemu fulani kwa muda fulani then awepo alternative individual(s) ambaye (w)anaweza kwenda kuonana na hiyo audience kuepuka undesired perception kwa chama. Mngekuwa na spare tire naamini mngechelewa kidogo kufika Kahama, but still mngeweza kuonana na wananchi angalau kwa muda mchache. Ni mtazamo wangu tu.
Du una mahaba na Lema jinsia yako tafadhari....
Kumbe ripoti za polisi kuhusu ajali nchini wanaandika hata magari yaliyopata pancha? Kama ndiyo hivyo basi ripoti hizo zitakuwa za uwongo kwani kila siku kuna magari mengi yanapata pancha. Kwa mwezi huu mimi binafsi nimeshapata pancha mara nne. piga hesabu kwa wananchi wote wenye magari au kuendesha magari. Na kama polisi hawarekodi pancha kuwa ni ajali basi wao warudi shule za memkwa na wala siyo Godbless Lema.we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Wewe ni muongo,kwani gari halina spea tairi?
wala siamini kama hata mwanza umefika.
Taasisi yao kiongozi ni Mbowe. Class six dropout. Low scale pub operator. Kamanda wao ni Lema. Mhuni wa Arusha. Sasa hiyo BCP wataijua kweli.