Mimi ni mzima - Lema


Ndo utambue kiasi cha uongo ambao husambazwa humu na baadhi yenu viongozi mmekuwa mkiushabikia
 

Kamanda,

Nafikiri kuwa umuhimu wa kuwa na Business Continuity Plan (BCP) katika taasisi yenu. Mmepata pancha mkashindwa kufika Kahama, naamini kuna wananchi huko walikuwa wakiwasubiri kwa hamu but impression mliyoiacha uko wanaweza wakafikiri mmewa-ignore. Kuelekea uchaguzi mkuu mnatakiwa kuwa na BCP, akishindwa Lema au kiongozi yeyote kufika sehemu fulani kwa muda fulani then awepo alternative individual(s) ambaye (w)anaweza kwenda kuonana na hiyo audience kuepuka undesired perception kwa chama. Mngekuwa na spare tire naamini mngechelewa kidogo kufika Kahama, but still mngeweza kuonana na wananchi angalau kwa muda mchache. Ni mtazamo wangu tu.
 
Umekimbia. Kwanini usikodi gari . Ili uwahi mkutanano
Chezea zito.
Na arusha unang"oka
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
Nimeamini kuwa Lema ni Sawa na Lowassa kwakuwanyima watu usingizi vilaz kama wewe!
 

Asante mkuu kwa ushauri murua.
 
Mungu akupe afya njema na maisha marefu Kamanda. Endelea kuchapa kazi kwa ufanisi wako wote.

Alluta continua! continua

😛eace: 😛eace: 😛eace:​

Ila Lena ameanza kuniuzi. Amekuwa mpole sana siku hizi wakati tunapoelekea Octoba hatutaki lelemama. Ukicheka na nyani utakula mabuwa
 
Reactions: BAK
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.
Lowassa na Lema mwaka huu! Naona kama kuna baadhi ya wanaume watabeba ujauzito!
 

Mkuu pole sana! umeanza masomo ya jioni nini mbona umeanza kuwa na busara gafla?
 
Kahama hadi dar kwa 120Km/hr ni masaa mangapi?
 
God bless cdm leaders! Mpaka kieleweke......tunapiga kote kote, ccm-wazalendo na acrlt-wasaliti
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa

We nawe ndio urudi shule, kama pancha ni ajali kama unavyoishadadia mbona gari zipatazo pancha hazipimwi na trafiki au hazitangazwi kwenye vyombo vya habari? Kamanda anajua hiyo ni kitu minor tu ndio maana amesema sio ajali, angekuwa mbunge wa ccm angekuja kuchukuliwa na helkopta awahishwe india kutibiwa shinikizo la damu. Haya mwanao akivunja kikombe mwambie pole kwa kupata ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…