RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,052
- 529
Ulivomalizia umeonesha PURE STUPIDITY !! yakowalimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
Wewe sio mwalimu unadanganya tu. Hayo yote uliyoeleza mwalimu hawezi kufanya . Mwalimu ni zaidi ya kufundisha, ni mlezi, tena anaweza kuwa mlezi mzuri kupita hata wazazi wa mtoto. Hapo (c) ndipo umeonesha usivyo na busara. Kama umekatwa 60,000/- bila maelezo linamhusu vipi mwanafunzi mkorofi. Ungeenda kwa mwajiri wako ukamkung'uta kwa kukukata 60,000/- bila maelezo hapo kidoogo ningekuelewa. Na najua hutathubutu kufanya hivyo kwani unajua kitakachokupata.Wasalaamu wakuu!!
kwanza kabisa napenda kuwa omba mods wasiunganishe huu Uzi licha ya trend tuliyonayo, kwani Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo.
Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa.
maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule ( ndio, hata la saba ni shule), Mimi kama mwalimu na kwa uzoefu wangu niliokaa kazini ningeweza kumwadhibu mtoto kama huyo wa mbeya kwa sababu zifuatazo;
(a) Ameonesha kunigomea mbele ya wanafunzi wenzake.
Kama kawaida hakuna mtu mzima yeyote ambaye anapenda kudhalilishwa mbele ya watoto.
Inatokea mwlm unataka kutoa adhabu kwa mwanafunzi eidha kwa kuwa ana kidemu chake darasani anaamua kuonesha dharau na migomo ya waziwazi. Hapo mi ambacho nafanya ni kupiga kama naua NYOKA ili wenzake wakiona wasijiingize kwenye kosa kama lake kamwe. HII INAITWA HESHIMA KWANZA, KAZI BAADAE.
(b) Mwanafunzi ameletwa Ofisini na Mwalm A ambaye anaonekana mnyonge au mpole hana makuu kwasababu hiyo mwanafunzi anamgomea adhabu eidha ya kupiga magoti au kuchapwa! wanafunzi wa aina hiyo Mimi huwa naomba SUB then naagiza mzigo wa kuni badala ya kupikia nabadili matumizi kwa manufaa ya ofisi.
(c) Nimetoka kwenye ATM nakuta mshahara Wangu umekatwa Tsh 60000 bila maelezo ya msingi, narudi shule nakutana na mtoto aliyeshindikana kwao kajichanganya mbele yangu hapo lazima ni convert tsh 60000 to 60000 sticks of coplar punishment.
Mnaojifanya kutetea humu wengi wenu hii kazi ya ualimu hamuijui au mnadhani kwa vile watoto wenu wanapenda shule, basi mnahisi ni wote dunia nzima.
Hakuna mwalimu kichaa hapa duniani ambaye mtoto hajagomea au kusumbua kupokea adhabu, atapigwa kiasi kile.
wito wngu.
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.
Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.
Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani + ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA.
Hapo sawa, na uwe mzazi bora mlee mwanao katika misingi na maadili mema. Mwendawazimu ni yule aliyeshindwa kumlea mwanae wa kumzaaMtawapiga haohao...mimi bado sijawa na mtoto wa kuja kufundishwa na wendawazimu kama nyie.
Akifikia huko nitampeleka shule za maana atakakofundishwa na sio kupigwa.
Mimi pia ni mwl wa malezi !! nahakikisha kuwa bikra ya mkeo mtarajiwa iko salama bado mnatutibua !!! CAN'T YOU CALCULATE THE RISK YOU PEOPLE?
Wanaofundisha vyuo vikuu sio walimu au unaimanisha wapiii??walimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
Moghisa achana nahooo,,post yako tu unaonekana katoto !! ngoja nisubiri watakao like !!nione mko wangapi !! tafuta potty ujisaidie totoo!!
Vetakimbilio la walioferi ni......................
Hlo ndugu jf hawalioniiiserikali ijipange kulinda nidhamu za kina scopion wajao mashuleni hasa shule za serikali maana kuna wanafunzi wanawapiga hadi wazazi wao.
Sure! Nimecheka sana huu uzi wako. Real, a teacher is a Dr .of the human brain.umedhihirishia dunia kuwa You deserve to be a Doctor ! you might be one of my previous student !!
Mwalimu humfundisha mwalimu hvyo unapokebei mwalimu,, unajidhalilishaa hata kama wee engnerna maanisha waliosomea ualimu.
Au kuna course ya ualimu wa chuo kikuu?
mkuu count on me !!Mkuu
Hongera sana kwa kuwanyoosha hao watoto... Wazazi tumeshindwa malezi, unakuta baba hawezi hata kumkemea mtoto.....
Nasema mtoto fedhuli kama yule dogo alistahili kuadhibiwa kifedhuli kama walivyomfanyia... Haiwezekani kulea ujinga ... mwisho tunazalisha Taifa la hovyo hovyo.
Evelyn Salt nimejipanga !! staki kutishika na mihemko ya watu humu !!waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.
Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.
Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani +ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA
Tumevurugwa πππππππ