mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
We unapaweza celebrities kwa kina diamond na kiba tu huku sio kwako mama tukutane kwenye thread ya diamond
Hahaaaaa haya weeee
Naona mnanikazania na kazi yangu ya kushinda kibarazani napiga udaku
We unapaweza celebrities kwa kina diamond na kiba tu huku sio kwako mama tukutane kwenye thread ya diamond
ukiulizwa utoa maana ya neno *ukweli huwezi hata kuthubuti kwaakili zako finyu!!
Kumbe unanizibiaga rizki bure miaka yote hii.... Sio vizurisio kivile....ni pm unione
We kuchaguliwa hutaki ila unachagulia wenzio!! Kakushauri tu, tena ni ushauri wa msingi mno uchukue utakusaidia.
teh teh teh... njoo tuongee binamuKumbe unanizibiaga rizki bure miaka yote hii.... Sio vizuri
we binti usinipotezee muda umeanza mipasho tena!! mi ni mwanaume we saiz yako mzurimie sio mimi !! kuwa nesi ndo unahisi umemaliza au umesahau ulishawahi kuni-PM
We kamatia fursa tu.Mkuu taratibu basi![]()
![]()
Poa, nitakutafuta 'chemba'
We kamatia fursa tu.
Kwangu hapana, nataka mwalimu mwenzangu.Inaweza kuja hata kwako
Na mie nitafutie mwalimu, nataka kuwa maarufu
Hiyo seminary. Wenzio wanaongelea KayumbaNi kweli, zama za kulazimishana kusoma zilipitaga enzi za nyerere. Mimi pia nilisoma na watukutu waliojipindia vibaya, lakini wakikanyaga eneo la shule ni discipline kwenda mbele, kwasababu ilikuwa ukileta ujinga Headmaster anampigia simu babaako aje kukuchukua usiwapotezee watu muda. Swala la academy ndio usiulize, muhula ukianza mwalimu anatoa syllabus na anakwambia vitabu gani usome. Hakukuwa na haja ya kupigana vibao kwasababu hukufanya homework, utajijua mwenyewe kwasababu end of the year ukiwa bellow 50% inabidi utafute shule nyingine. Kusoma ni hiyari, vijana wanatakiwa waeleweshwe umuhimu wake, sio kupigwa.
Haa! basi walimu wasilaumiwe acha wawarekebishe jinsi wanavyoweza.Tatizo ni malezi hakuna kutoka kwa wazazi na jamii kwa ujumla. Sasa hivi tunategemea shule ndiyo zilee watoto wetu kwa zaidi ya asilimia 80
njoo wewe basi....Nakuthemea![]()
![]()
![]()
Never dare again juxtapose yur second master and I, we are quite different !! scrutinize my words above then digest as it is!!Nikutoe tu mashaka na Akili uliyo jiwekea Make uh just putting yourself in troubles
Naweza sema kitu kimoja Ambacho ukielewe ..kwanza cjui kama kweli wew ni Mwalimu.. pili walimu ni wito hakuna aliye kulazimisha. na kwatafsir tuliyonayo hapa tanzania juu ya walimu ni Watu walio kosa option Katika elimu zao na kuangukia kwenye tasnia ya Elimu...ila sio kwa wote wenye mawazo ayo.
tatu... either umeona mtu ame post kwenye magroup na wew ukaona ufanye copy and past i dont know make aya nihusu
Point yangu ni kwamba.. Wew ni mwalimu Let say mm ni mwanafunzi wako unapotaka kuni Adhibu kwa sheria na taratibu za shele hakuna mwanafunzi Atakaye kaidi hiyo ni kwa 95% make hata sis tu wai kua wanafunz
Ninapo kosea na unataka uni Adhibu nitakuba lakin Eti Kisa Wew kuna mwalimu wakike unamfukuzia au unampenda / unamahusiano na unataka uoneshe uana ume wako kupitia mim badala ya mkiwa falagha...
Mm nacho weza kusema Mtanifukuza shule hasira za mishahara sijui makato Au familia uwezi kuniletea Mm I swear to God badala Ya mwalimu kutafuta nita tafutwa mim...
HATA shule niliyo kuwa na Somea Walimu walinitambua vizuri Nitakapo simamia haki yangu Aiseeee Ni bora ukamuita mzazi kuliko kutumia nguvu... make nitakupasua Afu nanyie amkurupukagi mnaangaliaga kwanza background ya mwanafunz eti kisa mpole.... Mim second master mwenyewe alileta ujuaji zaidi kuliko sheria na kusimamia haki alijuta kwann alitenda vile mbele ya pared