Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Kumbe Madame B ni mwalimu?!!!Kwa asiyepitia au kujua kinachotendeka mashuleni, atachukulia simple tu, Ila jamani tunakutana na changamoto za kila aina.
Za aibu, za kufurahisha, za kuhuzunisha yaani ilimradi tu.
Nakumbuka nilipata kesi ya mwanafunzi wa kidato cha 3 aliyeachiwa nyumba na mama yake mzazi, baada ya mama kuhisi ati huyo mwanae wa kike anatembea na baba yake.
Mama alihama kabisa nyumba.
Ilikuwa kazi kumrudisha, ila kwa weledi tuliokuwa nao, tulifanikiwa.
Hivo hawa wanaobeza beza humu, nawaangalia kwa dharau tu mkuu.
Yaani nikikumbuka vituko vyako jukwaa la wakubwa na jinsi kazi yako ilivyo ya nidhamu na heshima
Mm nilikuwanachukulia kama mwanamke flani aliyeshindikana na Kokop kweli ...
Aisee kweli usiamini kila unaloliona jf