moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
- Thread starter
- #721
Waambie hao !!Sifa moja ya mwalimu ni KUENDANA NA MAZINGIRA.
Mie mpaka leo kuna watu hawajui kazi yangu, naendana na mazingira.
Kwenye umbea nipo, kwenye ushenzi nipo hata kwenye uchangu nipo.
Ula inapofika mahala watu tukashindwa kuheshimiana, acha tu waone tunakopata jeuri zote.
Hahahahaha
Ulijua natokea Kimboka au?