mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Kwani kushinda jf inahusu nini???
We ni nani hadi upangie wapi nini cha kufanya, umejiendeleza hadi elimu gani hapo ulipo?
Hakuna la kubisha, walimu wengi wasio penda kazi yao hawakosi kuwa na simu juu ya meza zao darasani na inawachukulia muda...badala ya kuwaza kuendeleza wanafunzi vyema wao akili sinuni meseji, udaku, jf kuna nini leo...
Hii kitu sio ya kubisha
Itabidi walimu wa wakuu wa shule haswa za setikali waanze kupewa uelekezi wa walimu kutotumia simu wakiwa katika kipindi na hata kutotumia hadi masaa ya shule yakiisha au hakuna kulipwa mshahara. Kama wanataka basi watumie wakienda breki tu..na kama kuna dharula badi shule iwe na namva ya wao kupatikana wanapohitajika na ndugu na jamaa...na itaeleweka.
Ni wakati wa mabadiliko sasa.