Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Kwani kuongea kiingereza ndio kumuhitimisha mtoto?
Shule za Academic hamkuziona?
Hebuuuuuu.......

Hahahaaaaa walimu wajiendeleze hata wakiwa kazini, simu za mkononi sio udaku na kushinda JF tu.

Utajuaje kama wengine wapo zaidi ya hizo walipopitia maishani...

Zitto Kabwe kaandika kitu wamerusha uzi re walimu wa sasa.
 
Rafiki yng ni mwl kaniambia siku hizi kesi za wazazi kwenda shule kuomba walimu wawasaidie kuwanyoosha watoto wao zimeongezeka sana.
 
Hakuna mwalimu mwenye madaraka ya kumfukuza mwanafunzi wa shule ya serikali. Serikali inapenda takwimu, inataka wanaoanza shule wote wamalize ndo Maana inafuta mitihani ya mchujo na kuweka mazingira magumu sana kumfukuza mwanafunzi asiye na nidhamu.
 
Ngoja nilale, nikusanye nguvu za kuandika kesho, maana wiki hii Frank katutengenezea jina.
Ungerecord ndugu yangu
 
Kuwa na walimu wavuta bangi kama hawa...ni bora mwanangu nimuozeshe tu....
 
Kwa mwaka huu mi ningekuwa mwalimu ningemwbia huyo mwanafunzi go and repeat again and again[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo bibi nae kataka, alikuwa na ugwadu wake.
Unalalaje na mjukuu wako aliye katika balekhe kali?
Yaani unajikuta tu hakimu wa kesi za majumbani
Walimu poleni, kumbe mnakula mahakimu zaidi ya ualimu wenu, ntashauri ligavamenti liwaongezee posho ya uhakimu au waweke ofisi ya mahakama shuleni,[emoji38] [emoji38]
 
Hahahaaaaa walimu wajiendeleze hata wakiwa kazini, simu za mkononi sio udaku na kushinda JF tu.

Utajuaje kama wengine wapo zaidi ya hizo walipopitia maishani...

Zitto Kabwe kaandika kitu wamerusha uzi re walimu wa sasa.
na we usijekuwa kama johnson meki na english yake ya have been !
show us what you got , sio zitto kutoa mawazo yake ndo unaafiki 100% ! na bado unajiita msomi!!

Uwe unachalenji mama ,hata kama msemaji ni Morgan Freeman.

Tanzania tuna safari ndefu sana! Hasa sisi tunaojiita wasomi.
 
Hii ndio ya kuinyoosha vizuri. .

Ila nawashauri kila shule itenge chumba cha kuwaadhibia watoto jeuri na kibr... Hapo kusiwepo na waalim masnicth kama yule dem aliyerokodi.

Hapo mnamfua kimya kimya. Akitoka hapo amenyooka
Yaani unamaanisha Guantanamo ndani ya shule, upo vizuri wewe, ligavament limesikia mawazo yako[emoji6]
 
Kuwa na walimu wavuta bangi kama hawa...ni bora mwanangu nimuozeshe tu....
Na kama baba yake siyo mvuta bhangi we mlete tuu ! mbona hataguswa!!

tatizo litakuja kama siku ya kutungwa mimba kwake ulipiga viroba au bange then shuleni unataka matokeo chanya!!

mwache aolewe tu mkuu hamna namna!
 
Duh nikikumbuka nilipokuwa mwanafunzi ya primary, mwalimu anafundisha sisi tunaangalia jarida kutoka ulaya la kikubwa lile bro wangu alikuwa baharia kaja nayo home nikaliiba. Sasa kama mwl angeniona sijui ingekaaje hii isue, poleni walimu.
 
Amen
 
Na kama baba yake siyo mvuta bhangi we mlete tuu ! mbona hataguswa!!

tatizo litakuja kama siku ya kutungwa mimba kwake ulipiga viroba au bange then shuleni unataka matokeo chanya!!

mwache aolewe tu mkuu hamna namna!

Sawa mkuu....asante kwa taarifa
 
atoto

Pia hao waalim masinitch nao ni kupambana nao. ..... Hao wanajifanya wanataka urafiki na wanafunzi kumbe ni uoga.

[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yule alikuwa boyfriend wake nini mpaka akapiga video.
 
Mwanafunzi Akileta ujinga dawa yake siku hizi kumtoa tu class asihudhurie kipindi chako hata usijisumbue kumchapa .
Vp huyo mwanafunzi akikataa kutoka darasani? Imeshawahi kunitokea binti akakataa kutoka darasani. Nikamuachia tabasamu, nikaendelea na kipindi. Mwisho wa siku alirudi sup, nahisi namna nilivyomhandle alipata msongo wa mawazo akajua lazima aingie wavuni.
 
Hii ndio ya kuinyoosha vizuri. .

Ila nawashauri kila shule itenge chumba cha kuwaadhibia watoto jeuri na kibr... Hapo kusiwepo na waalim masnicth kama yule dem aliyerokodi.

Hapo mnamfua kimya kimya. Akitoka hapo amenyooka
Ha ha ha iwe stoo ili akimaliza kupata kichapo viti vibovu vinamalizia kumdondokea kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…