Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Kazi kweli kweli hii ndio Tanzania ya dikteta Uchwara.
Hivi naweza kuweka audio hapa Jf maana nimejaribu nimeshindwa.
 
Wanaoona faida zetu ni wachache wanaojielewa kama ninyi.
Mwalimu ni lazima akuadhibu, maana hata usipomuadhibu mtoto unaweza ambiwa kuwa una-date nae, hasa kwa sie wa sekondary ndio balaa.
Cha kushukuru ni kwamba ulimaliza salama, na umepata kazi yako ambayo awali aidha walimu wangekususa sidhani kama ungekuwa hapo ulipo.
Pole ila shule sio lelemama
 
WALIMU WA BRN WANAFARIJIANA.

nyie mwageni povu tu ila kiama chenu kimefika!

by the way mnafundisha kitu gani nyie,

infact, you deserve being undermined and overshadowed , you truly deserve it.

you get what you sew, .

hakuna mnachofundisha zaid ya kuwajaza wanafunzi matope.

walimu wa BRN bwana.
 
i have been in schools, been tought there all that time...

these morons version of mediocres called teachers are nothing but failures who accidentally found themselvelves at schools teaching our kids.

all they can is to walk arround with bunch of sticks canning and abusing kids.

hawana knowledge yenye tangible effect kwa wanafunzi zaidi ya kuwatisha na kuwanyanyasa.

nidhamu kwa mwanafunzi ni jambo msingi, lakini adhabu zilizozidi kipimo hazivumiliki.

kama hamuwezi kuhandle wanafunzi acheni kazi.
 
Hakuna kinachofundishwa lakini kila mwaka vyumba vinajaa wanafunzi...... Hapa juzi Magufuli alikuwa anapambana na madawati ili wanafunzi wapate pakukaa wafundishwe.....


Mpumbavu ni yule anayefanya tofauti na anachokiamini. .

Kwanza huu uandishi wako ni ishara kuwa wewe ni Kiazi mbatata
 
hatuwezi kuvumilia upigaji wa kinyama kwa wanafunzi.

fuata taratibu zinavyotaka, viboko vitatu au kusimamishwa shule.... kwani ugumu uko wapi?

acheni kuwapiga piga hovyo watoto wa watu.
 
Poor you. Hicho unachojivunia umekipata kwa mwalimu awe alifeli Au laa ila ulifundishwa na ulielewa. Ndo walewale machichidodo kiswahili kizuri waviringishamavi wanachukia kitu na huku wanaishi kutokana na Hicho kitu. Kiviringisha mav kinasogeza mavi kinyume kanakwamba hakiyataki na huku kimeishi na kinategemea hayo. Sasa Ndo wewe. Mwalimu kakufundisha na bado mwanao atafundishwa na walimu. Afu unambeza. Ona aibu.
 
" i have been in school...." una uhakika hapo uko sawa... bado unatuita sisi wa BRN.

go back to school and differentiate btn have and had. popo wewe
 
That yellow puss oozing and sprashing out of your forsaken hole, has nothing to do with us!!

go teach your own alien headed child if you think you are cool enough.
I hate Lesbian.
 
unatumia present perfect continous ???? so you still a student???

Hakuna KIAZI kama wewe !! tena usichangie hii thread sio saizi yako you twat!!! nenda facebook!!
 
heeee watu wanshadadiiia,utadhani dogo kpigwa kiviile,kipigo gani kile wanampiga tuvibao tu,na tumateke. hata hawajatumia ngumi wala kumbutua. au kwa kua walikua wengi lkn bado kakipigo kakiaiana tu.

lkn dogo karusha makonde kwa ticha ake na kamtoa kiwese. mwanangu bado mdg akikua apigwe tu km anapigana na wlimu wake,apigwe tena zaidi ya pale.
unamtukanaje mwl?!!
unampigaje mwl?!!
mwl n mtu wa heshima sn.
 
huo wenyewe ndio wanaona uzungu, yaani mtoto anatawala nyumba
 
brother usibishane na mwl,ulisoma shule nzuri sn na ilikua inawezekana kumtimua mtoto,unataarifa siku hizi mtoto hafukuzwi?!! na headmaster akijiroga tu katumbuliwa,mbali zaidi unajua watoto wakifeli sn anatumbuliwa mkuu,na ikiwezekana mwl aliefelisha sn somo lake anakua na hatihati?!!

unajua pia displine ni kiungo kizuri cha taaluma ya mwanafunzi?!! na km watoto wakifeli sn kitaifa unajua lawama huenda kwa watu gani?!! ni walimu.

kwa mazingira hayo mwache mwl afanye aonavyo lkn kwa maendeleo ya taaluma tu ya mtoto nasivinginevyo. tuache kuwalealea watu tumepigwa mpk tumesoma sasa tunajivunia
 
jaribu eeeeee ili upate heshima na ntaani ubaki tena ujitangaze kabisa ndipo utajua kwa nini maji ya bahari si ya mtoni.
 
Hiyo piccolo iko wapi nigudhurie na mwanangu?
 
Wewe unaeijua si umfundishe, zero anapata kwakuwa akili karithi kwa mzazi wake kama wewe.
We mlee mwanao katika maadili yanayofaa uone kama utatafuta namba ya kupiga.

Lea nunda kama wewe basi ujue mzoga wako huo, usidhani sifa.

Hahahaaaa kumbe nimekukuna pia.

Namba ya kupiga muhimu kwa jinsi nchi yetu inakoelekea, kwa wanaojua kikomo cha adhabu kwa wanafunzi na wapenda kazi hawatajali hili.

Zitto kabwe nae kanena vizuri, nimeona uzi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…