Kabisa.Wawalee watoto wao kabla hawajatuletea murder case, maisha yenyewe stress alafu eti mtoto wa mtu nae aniletee stress!! Nawaza pesa mie siwazi toto la mtu liloshindikana.
Ndo ushangae sasaSasa hivi jamii imewakamia walimu kuliko wez wa Mali za umma,
Kwanini tanzania walimu wanadharauliwa sana ila ipo siku tuTulipomaliza masomo waliofeli wote ndio wakaenda ualimu sasa sijui unaongea nini? By the way walimu walionifundisha mimi wengi wao walikuwa timamu, hawakuwa na akili kama zako. Na nikikutana nao mpaka kesho wanakula lager za kutosha kisha wanaondoka na nauli ya taxi.
Ngoja nilale, nikusanye nguvu za kuandika kesho, maana wiki hii Frank katutengenezea jina.Hahahaaaaa!!! Yaani hawa watoto jamani full drama.
Wazazi wameshindwa kulea watoto ....... Baba hawezi kumkemea mtoto.... Ukifika nyumbani unashindwa kutofautisha mtoto na mzazi...We mzazi umemshindwa mwanao ulomzaa si aibu hiyo, unategemea nini zaidi!! Si umpeleke polisi angalau apelekwe jela akafanye shughuli za ujenzi wa taifa.
Tukiamua kucharukiana watakaoumia ni watoto so msijitoe ufahamu kabisa.
Tushirikiane tu ili tuwasaidie watoto wa taifa lijalo.
Mambo kama haya ndo usimvunje mtoto wa mtu kiuno?kipindi na fundisha niliwahi kutana na changamoto moja sito isahau jamani!!!!
kuna watoto wakorofi lakini basi tu!!! kuna mtoto wa kidato cha tatu alimpiga tofali mwalimu la kichwa mpaka leo huwa anapoteza poteza kumbukumbu alafu kisa mwalim kamkamata mtoto ametoroka yuko kwenye PS
chaajabu mwanafunzi aliamishiwa shule ingine!!!!!
Kuna wazazi wanakasirika watoto wake wakifunga shule ... Anajua balaa na laana imekuja nyumaWapasuke kabisa, wasimamie malezi ya watoto wao waone kama kutakuwa na tatizo, yaani mitoto imekubuhu, toto hadi jela lishafungwa, alafu eti mtu anakuja kumtukana mwalimu!!!
Kulea kwenyewe wameshindwa wameachiwa bibi na babu, wao wanatembeza mbegu tu, sasa basi kama mbwai na iwe mbwai.Watumeze, tutawapasua matumbo yao tutoke.
Zazi bishi, toto bishi.
Afu katika shule ninayofundisha, % kubwa ya wanafunzi wanalelewa na mabibi zao.
Full kudekezwa, ila ni minyoosho tu wakifika skonga.
Ibada njema inaanzia nyumbani, tabia njema huanzia kwa mzazi.
Wapo wazazi walevi na wazinzi lakini katika suala la elimu wako strictly.....ila wenzangu na mimi sasa, wabishi kama kabila flani.
Acha tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kabisa.
Mzazi anayeelewa nini maana na umuhimu wa elimu sidhani kama atakuwa na tatizo na sisi.
Wapo wazazi wasiosoma lakini anakwambia kabisa kuwa, yeye hajasoma ila anataka mtoto wake asome ili amsomee barua na magazeti nyumbani pamoja na kuleta heshima ktk familia.
Ila kuna wale kundi la ISIS sasa, wako kama ma-mumiani.
Hawaeleweki wanachotaka.
Kusoma hawajasoma, ubishi ubishi tu.
Kuleta ujuaji, ila akisikia faini ya kulipa kwa uzembe, uso wake sasa unavyomshuka, kama punda anachungulia kisimani.
Habari ndo hiyo, wakimwaga mboga, sie tunamwaga ugali na kubinua kabisa mkeka na maji ya kunawa tunaoshea nywele.Kulea kwenyewe wameshindwa wameachiwa bibi na babu, wao wanatembeza mbegu tu, sasa basi kama mbwai na iwe mbwai.
We pata taswira vizuri kabisa ili ukazane kwenye malezi ya mwanao la sivyo.........Kumbe walimu ni wengi kiasi hiki!
but mwenye uelewa achambue comment zote za walimu alafu ndo atapata taswira halisi ya jinsi walimu wetu walivyo.
yaani wote wana negative perception kwa wanafunzi alafu ndo useme kina frank wameonewa!
Hakika walikosea sana na inapaswa wapewe adhabu kali sana but kwa kuwa bado ni wanafunzi ata hawajajua nn maana ya dissertation ni bora serikali iwaonee huruma waruhusiwe kuendelea na masomo yao huenda wakawa mabalozi wazuri hapo baadae.
lilowapata laweza mpata binadamu yeyote.
Ila na nyie walimu badirikeni jaman
Huyo bibi nae kataka, alikuwa na ugwadu wake.Kuna kesi moja ya bibi alikuwa anaishi na mjukuu wake wa kiume...... Siku moja usiku mjukuu kaja akavunja mlango akamalala bibi yake. .
Bibi yake badala ya kwenda Polisi alienda kushtaki shule...... Na dogo aliitwa na akakiri.
Alipewa kichapo kitakatifu alitubu dhambi zake zote
We mlee tu vyema, ila akiwa kichwa maji kama wewe yeye ndio atakukata hizo pumbu kabla hata hujamkaribia mwalimu.Pige mtoto wangu uone ntakavo kata pumbu izo
Acha tukamiane tu, hasara yetu sote.Sasa hivi jamii imewakamia walimu kuliko wez wa Mali za umma,
Hii ndio ya kuinyoosha vizuri. .Ni heri primary unakua unapigiwa kelele na watoto, kuliko hizi ngedere ambazo zikiota vooz zinajiona zimekua, yani mtoto anakudindia utadhani anakupandaga shwain
Aaah my dota Heaven Sent nilimlea akaleleka hana historia chafu kabisa.Atoto mwingine huyu anahitaji counciling. Kwa hayo maneno yake ya mwisho ungempa adhabu gani?
Ayaaaaaa!!! Sasa toto la hivyo eti nalo libembelezwe!!kipindi na fundisha niliwahi kutana na changamoto moja sito isahau jamani!!!!
kuna watoto wakorofi lakini basi tu!!! kuna mtoto wa kidato cha tatu alimpiga tofali mwalimu la kichwa mpaka leo huwa anapoteza poteza kumbukumbu alafu kisa mwalim kamkamata mtoto ametoroka yuko kwenye PS
chaajabu mwanafunzi aliamishiwa shule ingine!!!!!