Na atanyooka tu.Asiefunzwa na wazazi, walimu watamnyoosha 😀
wewe uliyefaulu ni nani, na unaweza kuthibitisha kwamba walimu ni waliofeli? unajua kufeli wewekimbilio la walioferi ni......................
Tena wapige kimya kabisa, wasilete za kulete.We mzazi umemshindwa mwanao ulomzaa si aibu hiyo, unategemea nini zaidi!! Si umpeleke polisi angalau apelekwe jela akafanye shughuli za ujenzi wa taifa.
Tukiamua kucharukiana watakaoumia ni watoto so msijitoe ufahamu kabisa.
Tushirikiane tu ili tuwasaidie watoto wa taifa lijalo.
Tatizo Secondary wote tunanyoa, si walimu si wanafunzi, hivo wanaona wameshakua.Yaani kuna muda huwa natamani ningekuwa mwalimu wa primary maana sekondari khaaaaaaah!!!
Afu kutwa oooohhhh, tunakagua vyeti ili kuangalia taaluma ya mwalimu.Hapo kwenye matokeo ndipo wananikeraga hatari, mitoto yenyewe inakuja sekondari haijui hata kusoma kiswahili tu achilia mbali kiingereza, alafu wanatarajia walimu watende miujiza.
Matokeo yakiwa mazuri ni ya serikali yakiwa mabaya eti ni ya walimu, hovyo kweli.
Wazazi wanatamani kupasuka 😀😀😀😀
Ila serious, tubayokutana nayo ni mengi asee
Afu kutwa oooohhhh, tunakagua vyeti ili kuangalia taaluma ya mwalimu.
Wizara badilikeni.
Mange kule anasema kila siku, kuna shule hazina hata hadhi ya kuitwa shule maana kama mapori tu.
Matokeo mazuri ya kwao, mabaya ya kwetu.
Ngoja tufate slogana yao, .....wataisoma
andika kiswahili mkuu twende sawatuja
Kwanza mwambie kufeli mtihani sio kufeli maishawewe uliyefaulu ni nani, na unaweza kuthibitisha kwamba walimu ni waliofeli? unajua kufeli wewe
Hongera, kumbe umesoma enzi ya baba kupigiwa simu. Sisi hakukuwaga na hiyo simu.Ni kweli, zama za kulazimishana kusoma zilipitaga enzi za nyerere. Mimi pia nilisoma na watukutu waliojipindia vibaya, lakini wakikanyaga eneo la shule ni discipline kwenda mbele, kwasababu ilikuwa ukileta ujinga Headmaster anampigia simu babaako aje kukuchukua usiwapotezee watu muda. Swala la academy ndio usiulize, muhula ukianza mwalimu anatoa syllabus na anakwambia vitabu gani usome. Hakukuwa na haja ya kupigana vibao kwasababu hukufanya homework, utajijua mwenyewe kwasababu end of the year ukiwa bellow 50% inabidi utafute shule nyingine. Kusoma ni hiyari, vijana wanatakiwa waeleweshwe umuhimu wake, sio kupigwa.
Sisi ni kama mazigo ya vinyesi.Unaweza kumfundisha mtoto asiye kusikia???....
Ndonii umeandika bandugu?Wacha yaendelee maisha ila kama wantenda hivyo ila kwa wazazi wengine...Hakikisha is his gheto lako linakiwa lupango usala wako.
Mwalimu una chura af full mibano miksa min dent denda hiloo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie ningem-butcher zaidi ya wale wa ISIS.
Nakumbuka ajira ya kwanza niko ubaoni naandika, namsikia mwanafunzi anaongea huko nyuma...."mwalimu kama huyu, unambana ukutani ili umtie vizuri"
Aiseeee.....sema tu Mungu aliniongoza nikasema na roho yangu.
Tuna mitihani sana jamani.
Mungu atusimamie.
Kuanzia wazazi mpaka watoto wao ni matahira (baadhi lakini).
Na huku nilipo ndio chimbuko la hawa wanaojiita 'watoto wa mbwa'
Mahudhurio ni half-half
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tena wapige kimya kabisa, wasilete za kulete.
Kwanza Academy ziko kibao, wakwendreeee huko wakasome.
Wasitake kutupanda vichwani.
Laana za koo zao, wasituletee sisi
Yanawatoka tu ila laiti wangejua, hivi kuna kada inaongoza kwa kukimbiwa kama hii? Hawajiulizi ni kwa nini?Tatizo Secondary wote tunanyoa, si walimu si wanafunzi, hivo wanaona wameshakua.
Na wengine wameshaanza kupumuliana basi wanaona wote tuko sawa.
Mie nilianza na Primary, la saba ndo wanajitia manunda wa shule.
Kuwanyoosha kama rula ndo dawa yao
Ulisomea wapi? Ulifundishwa na nani?mimi ni expedition na sijui kufeli ila ninajua tuja walizonazo walimu wakibongo.
Unikabe au unitukane then nikuangalie tu, pigeni kelele sheria ya kutimua shule mitoto mitukutu irahisishwe, ili tuwaletee mkae nayo wenyewe mtuache tupumue.Ili kujiepusha na majanga bora walimu hata msiwe mna wachapa hawa wanafunzi hata kama amekosea, maana hata akifeli maisha si ya kwake, akikua baadae ndio atajua umuhimu wa shule, Jeuri muache na ujeuri wake, haya mnachapa wanafunzi haraf unafukuzwa kazi umepata faidi gani? Maisha yenyewe yalivyo magumu.