Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Umeishakuja shule, lazima uwe mwanafunzi.

Habari ya kuanza kujitutumua kisa umeanza kuwa na kijibesi, ntakuvunja dunia yote inilaumu.

Mwanafunzi unapiga ngumi mwalimu!!!!!!!!, mwalimu what!!!!! Aisee ..........
Sawa sawa, mwalimu ndiye babako/mamako, uncle/aunt hata Babu.....
 
Mkuu tunaomba utimize ulichoambiwa na mtoa mada,yani tunaomba ile post yako ije kwa kiingereza tafadhali sana
 
Yes, kama unaona mwanao malaika kaa nae home umfundishe
 
Halafu kweli!!! Watafiti mawaziri hawajalisemea hivyo[emoji134]
 
Kabisa.
Hata wasemeje, bakora ziko palepale.
Hawataki, wawahamishe shule.
Mtoto wako aniletee ujinga?...bakora tu na mateke mpaka anyooke, maana hamna namna.
Kila mzazi achukue mwanae wakae home wafundishwe nyumbani...
Masomo yenyewe mbona rahisi tu kingereza, kiswahili, hesabu kwani kuna mzazi asiejua haya masomo 😀
 
Point!!!.....au kisa haijarushwa wasap!
 
[emoji23] lilimlavu Madam[emoji23] [emoji125]
 
we chambua wanafunzi kama Katanga wee...wanafunzi wa digital woboa.
 
Siasa ndio inaharibu sana jamii, hivi yule amkubwa alieamrisha WAPIGWE tu alibainisha umri? Alisisitiza kuwa kila avunjaye sheria na APIGWE maana hakuna namna, mwalimu katimiza. Viongozi wanapoongea jambo wajifunze kujitafakari si kuropoka tu.
Mwalimu Frank kifungu cha kujitetea!
 
Kila mzazi achukue mwanae wakae home wafundishwe nyumbani...
Masomo yenyewe mbona rahisi tu kingereza, kiswahili, hesabu kwani kuna mzazi asiejua haya masomo 😀
Nashangaa.
Hata asiyeweza kusoma, nina imani hawezi zidisha au punguza chenchi.
Watutolee shombo lao hapa.
Kwanza sio lazima wote wajue kusoma, nani atamfundisha mwenzie wote wakielimika?

Ukute wengine hapa wanao-comment upuuzi hata hao wazazi wao hawajui kuumba kiumbo.
Wanadhani ualimu kama kuuza karanga, kila mpita njia lazima anunue?
Wakajambie kushoto huko
 
Watz kwa kupigia kelele vitu vya kijinga ndo wenyewe
China wamezindua treni ya umeme Ipitayo hewani.
Sie huku badala ya kuona tutafikaje huko, japo kwa kuibia, kutwa ku-discuss upuuzi, walimu walimu, kwani wazazi wao wamefundishwa na ngedere?
Mbona wamefundishwa na walimu na wako na kazi za maana mpaka sasa, hata kama wana vyeti feki, kufikiri kutumia cheti feki, nayo ni akili tosha ya darasani.
Maana nina imani mpumbav.u asiyejielewa hawezi kufikiri chochote katika ubongo wake mkavu.
 
Nina mshkaji wangu mwalim,tulikuwa tumepanga nyumba moja sasa siku moja amerudi home kavimba vimba uso nikamuuliza vipi umepata ajali? mwanzo akanificha lkn baadae alipotulia akaniambia wanafunzi hao wamemkongoli, dah ilibidi nicheke tu kwa huruma
Ndicho wazazi wao wanatetea hapa
 
  1. Mtoa mada ananifurahisha na hizo comments zake.. Ila nilichokigundua waalimu ni kama wanasapoti mwalimu mwenzao but anyway mwanafunzi kuleta jeuri kwa mwalimu ni kosa na pia mwalimu kutoa adhabu isiyo ya kiuanafunzi kwa mwanafunzi ni kosa
 
[emoji106]
 
Asanteni sana walimu kwa vipigo vyenu kwa kiasi fulani vimenifanya niwe hivi vinginevyo huenda ningekuwa kwenye hali mbaya sana ingawa kipindi hicho nilikuwa nawachukia sana
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…