Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,163
- 28,807
Mwanamke mvivu ni aibu!!
Nikikuoa utaacha uvivu
. ila wanasemega watu smart class maisha huwashinda .. pole bwana
HapanaAisee si nyumba yako /chumba chako kitakuwa kichafu na hakina mpangilio?
We ndio wa kwanza kunambia ivyokama unaweza kufanya yote haya basi wewe si mvivu!
Sana aiseeMwanamke mvivu ni aibu!!
Cha muhimu unajijua tatizo lako. Na ukishajijua na kujitambua ni rahisi kurudi kwenye line ya kawaida. Mfano ukiwa na mpenzi wako jitahidi kumuonyesha kwamba unaweza penzi, ukiamka ukienda bafuni jitambue kwamba unatakiwa kuwahi kazini, ukiwa kwenye ward rob ya nguo we chukua nguo yoyote maana zote ulipozinunua zilikuwa nzuri vaa tu, ukiwa kazini jitahidi kutambua unatakiwa kumaliza kazi zako za siku, ukipata mpenzi husiwe mvivu wa kuwasiliana naye, chukua muda mwingi kuongea naye hata kwa facebook, whatsaap mradi umkeep busy na hutakuwa na stress. Kama huna simu za whatsaap nunua maana uvivu wa kununua utaonekana hujui mapenzi.Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.
Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.
Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.
Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.
Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.
Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?
Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Mwenye io namba apo atakua ameshapigiwa na namba mpya nyingi sana by now. . .naombea awe kidume tu [emoji54]Watu wavivu kama nyie ndo mnafaa kufanya kazi ngumu ,coz mtatafuta njia rahisi ya kufanya kazi ngumu na kurahisisha [emoji4] [emoji4] [emoji116] [emoji116] View attachment 425294
Ntajitaidi kuiacha siipeni basi tuUsiendekeze hiyo tabia siyo njema kabisa
Utakapokuja kuwa na mji wako ukapata na watoto utapata shida mno
Kweli unatafutaWadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.
Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.
Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.
Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.
Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.
Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?
Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
How do you manage that kwa tabia hiyo!?Hapana
Kisafi 24/7
Ntajitaidi kuiacha siipeni basi tu
Sent from mTalk