Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Dada Mpelekee Baba Maji Ya Kuoga.
Dada Mletee Baba Chakula.
Dada Nguo Za Baba Zipo Tayari.


































































Unapoelekea:
Dada Leo Naomba Baba Aku*ombe Ww Leo Nimechoka.
 
Sio mtoto kiumri ila kiakili u bado mtoto. Hakuna mtu Mzima anayeshinda anachat, games, kula, movies na music. Majukumu unafanya sangapi?
Kweli kabisa majukumu yakija by default tu unajipanga unless ndo uwe mzembe hujali kazi unapenda starehe zaidi kuliko kazi
 
unacho nifurahisha miss natafuta huna povu watu wanachangua vitu vya kejeri ila wewe ndo kwanza unatania uko vzr katika hili! na nadhani unaweza imudu michezo ya karate na ukafanikiwa vzr [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wekeza kwenye mazoezi haya
 
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Change your mindset then upunguze kulala lala hovyo itakusaidia kuwa na muda hata wa kufanya mazoezi na ndipo utapojikuta umekuwa active na kufanya majukumu yako kwa muda muafaka
Ahsante!!
 
Umewezaje kutype text ndefu yotee hii ikiwa we ni mvivu umeamua kua mvivu amua kutokua mvivu kama ulivyoamua kudondosha hyo baruaa
 
unacho nifurahisha miss natafuta huna povu watu wanachangua vitu vya kejeri ila wewe ndo kwanza unatania uko vzr katika hili! na nadhani unaweza imudu michezo ya karate na ukafanikiwa vzr [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wekeza kwenye mazoezi haya
sinaga shida na mtu mkuu .maisha yenyewe mafupi heshima ni kitu cha bure tu
Kwa maelezo yako inaonekana wewe kibonge kweli [emoji23][emoji23]
nina kg 94
Change your mindset then upunguze kulala lala hovyo itakusaidia kuwa na muda hata wa kufanya mazoezi na ndipo utapojikuta umekuwa active na kufanya majukumu yako kwa muda muafaka
Ahsante!!
sawa mkuu nitaamka saa kumi na mbili kila siku
Na wanaume tulivokua mafala utashangaa Kuna mtu anaoa hapa.
acha uchopchezi mkuu
 
Back
Top Bottom