Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Kuna kabila unatakiwa uoe lazima unyooke,ili akunyoooshe uvivu utakutoka tu
 
Ukizaa uvivu wote utakuisha. We subiri uwe mama[emoji1362]
 
mwanamke mvivu ni janga heri kuzaliwa mlemavuu, uvivu unaendana na uchafu sasa mwanamke mvivu mmmmmmh raha inakujaje kuwa nae kwa mfanooo ? jirekebishe pambana haswa utadhalilika. alafu ukute ni mvivu na kibonge my Lord
 
Mi nadhan tafuta mtu ambay ni msafi akumotivate, utabadilika tu,... Pia kutokua na mahusiano kunafanya mtu unakua mchafu, hujijali kutokana kukosa sabab ya kujijali,.
.

Pole ila mazoea huleta tabia, na uvivu ni mbaya siku zote
 
Hiyo ya kuamka kivivu imenikumbusha movie moja hivi ya Mr. Bean.

Ushauri wangu ni kuwa tengeneza plan utakayoifuata bila kushurutishwa na mtu. Hapa utapata kila aina ya ushauri ila uamuzi wa kurekebisha hali ni wako.

Narudia tengeneza plan (personal project plan) ya wiki ama mwezi mzima na ujilazimishe kuifuata. Lazima hiyo plan iwe na vitu muhimu kama Mission, Means to accomplish, objectives, Duration and Evaluation.

Kumbuka hakuna hasara kubwa kama ya kuchezea muda. Vyote waweza kuvirudisha ila si muda. Miaka kadhaa ijayo usipobadilika utayaona matokeo ya muda uliopotea kwa kuendelea kuwa Miss Mtafutaji.
 
Sio unahitaji mtu wa kufanya uanze kukumbuka kweli?
 
Back
Top Bottom