Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
ni vigumu sana kuchange ur habit though it is posible, so u need to sacrifice (kuacha kufanya uyapendayo ie huo uvivu kwa kujitahidi kufanya mazoezi na kuwa na marafiki wasio wavivu watakao kukeep active, p[ole sana miss
 
Kwa staili hiyo utaishi miaka mia. Watu ambao hawana stelless huwa wanaishi miaka mingi...
 
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
MHHHH,ok nenda USA River,Boma ng'omba na Mbeya uone wanawake wenzio wanavyo pambana,hata hivyo,kama una pesa wekeza kwenye shughuli nyingi za kufanya,kama uko hivyo na hautafuti solution basi unatakiwa ufanye Kick the Clock,unapoanza kila jambo weka Muda wa kumaliza huku ukiwa na saa yako mkononi,andika malengo ya siku wiki na hata mwezi,kama huwezi nitafute nikupangie Miradi Midogo itayokuweka Busy mpaka uvivu utakuisha.Hata hivyo jifunze kwa kusoma vitabu vya wanawake waliofanikiwa,Je,unadhani kwanini wanawake wengi busy hutaona hata wakihangaika na saloon,its all about Goals,Kama hupendi kujifunza utachelewa,anzia Mazingira yanayokuzunguka.
 
Hapo itabid umpate mwanaume ambae yupo serious na kazi + maisha pia asie mtu wa mchezo mchezo ili aweze kukubadilisha tofaut na ukimpata mvivu mwenzio atakupoteza zaid
 
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Nikikuoa utaacha uvivu
 
Ukiwa mvivu ndio mwanzo wa uchafu mana usipoangalia hata kuoga hutaoga jaribu kukemea hiyo hali sio nzuri
 
Anza kuamka mapema ufanye mazoezi Na jioni ujipangie ratiba nzuri ktk nafasi yako kwani hilo kweli hata mimi nilikuwa nalo,, Kwa sasa niko fiti
 
Back
Top Bottom