Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,028
- 16,150
kama unaweza kufanya yote haya basi wewe si mvivu!Kama mimi
Nachoweza kufanya ni kuchat,games,mziki,kula na movies tu
Tusubiri vijembe . . .
kama unaweza kufanya yote haya basi wewe si mvivu!Kama mimi
Nachoweza kufanya ni kuchat,games,mziki,kula na movies tu
Tusubiri vijembe . . .
tutaamka saa nane mchana
Weee!! Hunipendi kumbeifinye sikio
Sa kumi na moja alfajiri niko macho. Iwe jumatatu au jumapili... Mwili ushaji-tune hivyo.asante kwa ushauri.wewe huwa unaamka saa ngapi?
amna uantaka kuaibika?Weee!! Hunipendi kumbe
MamboU made my day aisee mpaka mkoloni kaja kuangalia nacheka nini..............
Ndio. Afu adi nlikufuata inbox ila bado unaruka ruka, mwenzako miss natafuta hakunisumbua hiviamna uantaka kuaibika?
tulia basi mbona fujo lakini utakuwa huli vitamuNdio. Afu adi nlikufuata inbox ila bado unaruka ruka
Nlimwandikia inbox alikuwa anajibu ww unapotezeaNdio. Afu adi nlikufuata inbox ila bado unaruka ruka, mwenzako miss natafuta hakunisumbua hivi
Natatuliaje wakati naona kuna watu wanakuka vitamu tamu huku mi nameza tu mimatetulia basi mbona fujo lakini utakuwa huli vitamu
Hongera kwa kupata majibuAisee! kumbe umesoma UDOM eeh?...kama ni kweli hii post yako imejibu maswali mengi sana.
basi zamu yako keshoNatatuliaje wakati naona kuna watu wanakuka vitamu tamu huku mi nameza tu mimate
Afu wewe tafuta kuku mweupe niinbox nitakupa namba za mtaalamu, utapiga kaZi kama mfanyakazi wa muhindiwale masalia wa udom naombeni mkae pembeni maana sitaki maneno yenu naongea na watu wazima wenzangu!
wadau nin shida moja katika maisha yangu mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.
kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwa kupata supp hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa tena nilikuwa nimelazwa nikatoka hosptal asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.
sasa tatizo linakuja kwenye maisha mimi ni mvivu kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna. hadi nirudi jioni.
nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha
nikienda benk sihesabu hela jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu kwenye daladala nilipewa hela feki hivihivi maana hata sikuangalia.
naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima naitaji kuwa na familia na kuwa mama bora.ndo maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje? natamani kuwa active . hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani
Asante.Hongera kwa kupata majibu
Leo ina maana watu wanafanya kazi?basi zamu yako kesho
leo nipo offLeo ina maana watu wanafanya kazi?