Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Hah hah we inabid uolewe na mie...maana tunaendana...me mvivu had kwenda chooni!!!!
 
WHO wameshasema u single ni disability. Au hujaskia,?

Jitafutie kidume huku ukule maisha mkuu.

Utaona medi nyamalii kabisa sheeeeh
Ni "metii nyamalii" sio medi nyamalii, we Layoni nini?
 
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Nani anataka mwanamke vivu vivu dunia hii?
 
Duuuh! Mpaka kitandani kwenye mambo ya kunako wewe ni mvivu?

Ushauri,tafuta mume au mchumba ukae naye akupachike na mimba ikiwezekana, ili akuweke busy. Akuamshe mapema,utandike kitanda na shughuli zingine ziendelee.
mwanamke mvivu hatakiwi kuolewa.....
akae hivyohivyo na uvivu wake. MTU mvivu hata Kufua chupi zako MWENYEWE Je uolewe na mwanaume yupi? Miss Natafuta uvivu ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Mazoezi.my..
Jitahidi kuwa na ratiba ya kuamka mapema kwa ajili ya mazoezi..
Kichwa kitakuwa sharp..
Ukitoka mazoezi fanya shuhuli zako ndo uondoke home
 
muongo ww top ten ya wap uliipata ww au shule yako ile ilikuwa ?? na chuo kipi umesoma ww au university offer
 
Sasa kumbe we ni mvivu af unalalamika hupati mume au mabwana wanakuacha tu.

1.Nani anataka mwanamke wa daily kumnunulia chips magetoni tu badala ya yule apikae na kufanya usafi wa mazingira na kupanga nyumba.

2.Nani anataka toto la kike vivu ambalo hata kuoga mara mbili kwa siku haliwezi na kufua ni mtihani kwake.

3.Nani anataka mtu ambae unaondoka hadi kurud jioni hajatoka kitandani ama ameenda sebleni na rum kuiacha vagalanti bila hata kutandika kitanda.

Uvivu huwa unaenda simulataneous sana na hayo nilioainisha hapo juu na hio kazi uliyonayo jitahidi uishikilie vizuri sana mama maana yakiharibika huko you will be doomed.
Anza kujichanganya kwa kupiga tizi (ruka kamba,kimbia) sana itasaidia mzunguko wa damu na kuchangamsha akili usipende kulala lala sana ama kukaa mtandaoni muda mrefu. Interact na KE wenzio kwenye shughuli za kujiongezea kipato kama ujasiriamali when you have free time na tengeneza ratiba (daily routine) kisha anza kuifatilia kwa makini.

Tip: Wanaume tunaojielewa huwa tunazingatia mengi sana inaonesha huna unaloweza zaidi ya kutanua mapaja tu.We malezi mabaya ya kudekezwa yamekulemaza sana hujui hata house chores zako bila shaka. Fanya maombi sana umpate boya wako wa mkoani akuoe maana bila hivyo utabaki unamlaumu mungu tu.
Sorry for the plain truth!
 
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Endelea kuwa Mvivu , hakika hauta baki salama

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana ukawa si mvivu ila mpuuzi, sorry lakn sijadhamiria kuita mpuuzi ila nimewaza mtu anaepuuzia mambo anaitwaje ndio nkapata ilo jina 'mpuuzi' [emoji3]
 
Ingawa sijawah kuona ila kwa mwandiko wako huu wa kivivu lazima utakuwa bonge au uzito uliopitiliza fanya BMI kujua tatizo, kama unalo Fanya mazoezi upunguze uzito. Na uvivu wako Huo ukiuendekeza huwezi kuwa mama bora maisha. Maana utakuja kupata mtoto utaona uvivu kumnyonyesha utaishia kumlisha mtoto macelerac. Mwisho wa siku mtoto anadumaa pia anakosa afya ya akili, mtoto anakuwa zezeta!
 
Back
Top Bottom