Mimi nakuona mwenye akili sana!
# Ama ni kutaka kutuaminisha kuwa, yale uliyoyasema kuhusu ndugu yako SUPU, kuwa ni chapombe na malay, kwamba uliyatamka ukiwa siyo mwenye akili timamu...(yaani katika, kumsafisha mdogo wako ili isemwe wewe uliyatamka yale ukiwa hamnazo kichwani)
# Ama, umesoma alama za nyakati na kuona kuwa, ni vigumu kwa SUPU mdogo wako kuwa mgombea urais kwa ticket ya CCM, hivyo kwa kuzingatia vile aliwashambulia watiania wenzie, kumbe basi anusurike visasi kwakuwa hakuwa mwenye akili timamu! Yaani, supu asije kulipiziwa mabaya na mgombea yeyote aliyewahi kumsema vibaya kwa kisingizio kuwa ....hamnazo!
Akili mingi sana wewe!