Mimi ni mfungwa

Mimi ni mfungwa

Hadi nimemwomba mtoto anisaisie kusoma tena kwa sauti na kwa kurudia rudia lakini nimeondoka mweupe kabisa. Labda nifatilie comment za majiniaz huenda nitaambulia kitu.
 
ukiwa na chuki huwezi elewa

ukiwa mjivuni huwezi elewa

ukiogopa huwezi elewa

wasikivu tu na watulivu wataelewa kiasi ila akifafanua kidogo kundi ili litaelewa zaidi
 
ukiwa na chuki huwezi elewa

ukiwa mjivuni huwezi elewa

ukiogopa huwezi elewa

wasikivu tu na watulivu wataelewa kiasi ila akifafanua kidogo kundi ili litaelewa zaidi

Kama alikuwa hataki watu tuelewe basi angewa pm akili kubwa wachache .
 
Mara ya mwisho nlisomaga uzi wako unaaga unaenda kujinyonga kumbe upo
 
Mimi naishi Butiama. Watu wakitaka kuja kunitembelea,wanafukuzwa,kwa sababu,sasa najua sababu ,kama nilivyoelezwa juzi,kwamba mimi ni mfungwa ambaye hapaswi kutembelewa na wageni.

Sisi watu wa Illuminati Order tunachukiwa sana. Unajua Illuminati ni nini?Jinsi Adam Weishaupt alivyoianzisha Bavarian Illuminati.

Soma Memoirs of the History of Jacobinism cha Barruel,au Proofs of a Conspiracycha John Robison. Kile kitabu cha kwanza ni more detailed.

Hiki cha pili ni more analytic.Kwamba Weishaupt alikuwa Jesuit,akaamua kwanini asiunde Chama kipya kuiasi dini,lakini kutumia mbinu zile zile za Jesuit Order na ,in fact,mbinu za all monastic orders.

Mimi,of course,sipo katika Satanic Orders,nipo katika Budhist Order,na sheria yangu ni vinaya. Kwa mtu yeyote kuniita chizi,that is the joke of the century.

It is interesting jinsi Magufuli alivyochaguliwa. Nilikuwa namsikia Anne Makinda anatangaza jana. She seemed to be taken aback. Makinda ameshangaa,Magufuli pia ameshangaa.

Kwa CCM nadhani,it is the best choice. Yule mtu amechaguliwa kwa vile ni scientist. CCM imechagua vizuri. Mambo yanavyokwenda,so far so good.
 
Ni kweli kabisa .Tumekuwa tukiaminishwa hivyo miaka yote...yaani tangu tukiwa wadogo mpaka tumekuwa watu wazima bado tunaamini hivyo....ila huenda kuna ka ukweli mkuu..mi mwenyewe nilkua nakukimbia mitaa ya msasani,driveinn kule...
 
Mkuu Andrew Nyerere

Mimi niko hapa Musoma kama vipi niruhusu nikutembelee...

Nachukulia sentiments zako katika habari hiyo kama non- fiction...
 
Last edited by a moderator:
Jamaa ni kichwa siutani..mwenye cv ya huyu ndugu atuwekee hapa tujue amesoma wapi na wapi
 
Ni lweli kuna rafiki yangu kwao ni huko karibu na kina Andrew aliniambia kwamba alitembelea hapo Butiama akataka kuonana na Andrew lakini akawekewa zengwe.

Sad.
 
Ukizungumza na huyu jamaa, ndio utaondoka na hilo alilosema ameambiwa hao watoto. Huwa anaongea hili anaacha, atakuja na hili ataacha.

Ova
 
Back
Top Bottom