nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,682 Reaction score 14,067 Jul 17, 2015 #81 ''you are very true bro''... Hata mimi kuna kipindi niliamini hivyo... Lakini katika pitapita zangu nikapata wasaa wa kupiga mtungi na mmoja wenu, ahh nikashangaa kuona mbona yuko tofauti na tuliovyokua tuna amini?
''you are very true bro''... Hata mimi kuna kipindi niliamini hivyo... Lakini katika pitapita zangu nikapata wasaa wa kupiga mtungi na mmoja wenu, ahh nikashangaa kuona mbona yuko tofauti na tuliovyokua tuna amini?
denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,953 Jul 17, 2015 #82 Angepitishwa "Mako" ingekua vipi?
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,103 Jul 17, 2015 #83 Mkuu labda wanakuona uko sawa kitabia kama baba mdogo Kiboko ? (RIP)