Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,099
Sijui ametumia mtindo gani Wa uandishi
Nimeambua 0
Mimi nimeambulia nunge yaani utadhani mashauri ya mjomba
Sijui ametumia mtindo gani Wa uandishi
Nimeambua 0
Wapoti nimerudia kusoma nimemuelewaMimi nimeambulia nunge yaani utadhani mashauri ya mjomba
Asante kwa kunielewesha jamaa anafaa kuwa mfuasi wa mjomba uandishi wake ni wa kisanaa
kuwa mtoto wa nyerere so what
Kizazi hiki cha shule za kata na ubongo flava hata kikeshe hapa hakiwezi kuielewa hii fasihi.. Shule za bongo sasa hivi ni majanga.. Wengine tumekuelewa sana acha haya madesa yaendelee kupiga kelele!!!
Uzi wako nmeusoma na kuelewa ila acha niongeze hili!
Hakuna viongozi wanafiki kama wa jembe na nyundo yaani wao kuutaka urais ndy wanammkumbka nyerere.....tena wanaenda kuhiji kwenye kiburi lake wakati huku mama Maria nyerere wamemuacha mbn hawaendi kumuona
Wapoti nimerudia kusoma nimemuelewa
Itakua kawapga dongo machichiemu
Hawamkumbuki Mzee mpaka uchaguzi ufike
Leo umeingia chaka au makusudi tu.Sitaki kuamini una kichwa chepesi kiasi kwamba mwandishi huyu kakutoa kamasi pamoja na ujuaji wako wote!