kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,343
- 13,423
Tunaelekea kubaya sanaUkitaka kujua swala hilo liko njiani angalia maandalizi ya bunge kuwa la CCM pekee Novemba utajua kitachotokea bungeni.

Una lingine ambalo ni jipya?Kenge
Kaa kimyaUna lingine ambalo ni jipya?
Utashi wako mdogoLabda wewe ni wa ccm ya ufipa