Mimi ni CCM, napinga Rais Magufuli kuongezewa muda

Mexican Gang,
Ninashauri muda uongezwe,Ila akija Rais mwingine ambaye afai muda upunguzwe.ila wasltu wanajiita ccm wamewatesa watanzania kwa miaka mingi na kungangania chama kikawa chama cha ukoo Fulani sasa wanaisoma namba.JPM amekuwa dawa yao.watanzania wanahitaji maendeleo na sio katiba.wanaohitaji katiba ni wale wale walioeatesa watanzania yangu Uhuru.
 
Watu mmeanza kugeuka maagizo ya baba wa taifa mapema hivi.
 
Huyu Rais naye anatakiwa apumzike kumuongezea miaka kutapunguza ufanisi wa kazi na pia kuna wengine wengi wenye nia nzuri na uwezo wa kuongoza nchi. CCM isitumie wingi wao Bungeni kupitisha kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,

Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM.

Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu.

Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa Nkasi anaesisitiza katiba ibadilishwe ili rais aongezewe muda kwakuwa anafanya mambo mazuri.

Swali langu: Je, katika nchi hii hakuna watu wengine wenye nia njema na nchi yetu zaidi ya Magufuli?

Je, nchi hii sisi wengine hatutakiwi kuwa Marais?

Je, ule utaratibu wa kupokezana kijiti ndio unakufa?

Je, tunawafundisha nini watoto wetu?

Nakemea kwa nguvu zote na yeyeto atakayeenda kinyume na matakwa ya baba wa taifa alaaniwe kwa kumkosea heshima muasisi wa taifa hili

Lumumba kindakindaki
Labda wewe ni wa ccm ya ufipa
 
Watanzania wanahitaji maendeleo.nani aongoze lini na kwa kipingi gani sio kipaumbele.kwa Sasa JPM anatosha kwanza ili watanzania wajifunze kuchagua kiongozi. Kuna Rais mmoja alitawala nchi alitembelea nchi zote duniani tukiambiwa anakwenda kuomba misaada na bado umaskini ukakua.emmirate airline kila mwezi alikuwa anakata tickets za first class na likiwa kundi kubwa la wanaongozana naye.tuliyenaye Sasa hajui ulaya na mambo yanaiva
 
Kwani Mh Rais aliweka msimamo gani juu ya hili?
 
QUOTE="Mugabe one, post: 35659503, member: 399006"]
Labda wewe ni wa ccm ya ufipa
[/QUOTE]
Kuna wakati ninakumbuka makatibu wote wa CCM mikoa na wilaya
za Tanzania Bara waliokuwa wanachaguliwa kutoka mkoa wa tanga tu.Hiyo Tania imeanza kufutwa kabisaaa, ndio wanasema mambo ya katiba baada ya kuisoma namba
 
QUOTE="jingalao, post: 35659555, member: 56995"]
Kwani Mh Rais aliweka msimamo gani juu ya hili?
[/QUOTE]
Rais ni mtumishi wa wananchi.anachosubiri ni kauli ya wananchi wanachosema.na wananchi wanasema aendelee
 
Sema wew ni ccm team membe ambae technicaly sio mwanachama
 
Wakuu habari,

Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM.

Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu.

Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa Nkasi anaesisitiza katiba ibadilishwe ili rais aongezewe muda kwakuwa anafanya mambo mazuri.

Swali langu: Je, katika nchi hii hakuna watu wengine wenye nia njema na nchi yetu zaidi ya Magufuli?

Je, nchi hii sisi wengine hatutakiwi kuwa Marais?

Je, ule utaratibu wa kupokezana kijiti ndio unakufa?

Je, tunawafundisha nini watoto wetu?

Nakemea kwa nguvu zote na yeyeto atakayeenda kinyume na matakwa ya baba wa taifa alaaniwe kwa kumkosea heshima muasisi wa taifa hili

Lumumba kindakindaki
Ndani ya ccm na hata nje ya ccm kwa kizazi hiki sioni wa kumfikia magufuli hata robo utendaji wake.
Kwa haraka haraka toka baba wa Taifa nyerere aondoke madarakani 1984 nchi yetu haikuwahi kupata mzalendo kama magufuli wengi walijali maslahi yao ila magufuli kajilipua kuvaa viatu vya nyerere

Tukimpoteza magufuli itatuchikua miaka 30 tena kumpata magufuli mpya

Ndio maana tunakuomba magufuli ukae madarakani mpaka 2034 Ili uinyoshe nchi

Nchi ilishaoza hii ilishakua shamba la bibi

Magufuli tunakuomba kaa madarakani walau hata 2034 utupeleke tuwe kama Thailand

Hizi kelele za wachache mtandaoni ni za vijana wanaotumiwa na mafisadi kukuchafua zikuumize kichwa mzee wetu

Mungu akupe nguvu katika uongozi wako
 
Ndiyo madhara ya washamba kupewa madaraka kishamba. Wamezoea kula dagaa sasa wanakula nyama na kujiona wao ndiyo wenye akili timamu kuzidi maprofesa wetu kama Mwandosa. Masikini akipata matako hulia mbwata.
 
Wakuu habari,

Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM.

Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu.

Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa Nkasi anaesisitiza katiba ibadilishwe ili rais aongezewe muda kwakuwa anafanya mambo mazuri.

Swali langu: Je, katika nchi hii hakuna watu wengine wenye nia njema na nchi yetu zaidi ya Magufuli?

Je, nchi hii sisi wengine hatutakiwi kuwa Marais?

Je, ule utaratibu wa kupokezana kijiti ndio unakufa?

Je, tunawafundisha nini watoto wetu?

Nakemea kwa nguvu zote na yeyeto atakayeenda kinyume na matakwa ya baba wa taifa alaaniwe kwa kumkosea heshima muasisi wa taifa hili

Lumumba kindakindaki
Katiba iheshimiwe
 
Back
Top Bottom