Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Hiki umeandika nimeshindwa kusoma chote japo nami napenda kusoma
Mambo muhimu usiwe unayasahau.Yapo mwishoni kabisa😄
Hivi hii I'd ndio ya yule hata najua basii?Hongera dear mimi kusoma mavitu malefu sana siwezi aisee ubongo wangu unawahi kuchoka 😅
Asante sanaAsante sana kwa kutambua mchango wa fema magazine(zamani femina hip magazine)
-nimekuwa balozi wa femina hzo na nakumbuka mwaka 2007 feb, tulifanya mkutano wa kwanza wa femina hip youth conference pale silversand hotel dsm, mgeni rasm alikuwa first lady salma kikwete wakiwa wameambatana na magreth sita i think alikuwa waziri wa elimu kama sijakosea. Nilifanya presentation hadi amabilis batamula cornel, na minou fuglesang, gloria mkoloma, wakawa wanaenjoy na kujilamba
Umenikumbusha mbali sana, kupitia fema tuliandaa kitabu chenye shuhuda za watu mbalimbali walio negative kiitwacho "YALIYOPITA SI NDWELE" tulishirikiana na mwanzo millinga.
- hongera sana na biblia umesoma sana au kdogo?
Ila sister abiagail unapenda kujiamualia sana mamboAsante sana
Ni kitambo na kazi yenu haikuwa ndogo.mbarikiwe
Yale majarida yenu na experience za watu ndani pia shuhuda vilinielimisha sana.
Wengine tulikulia mazingira ambayo kupata elimu ya ujana,uzazi,mahusiano,namna ya kujilinda na mengineyo ilikuwa ngumu.
Biblia nasoma sana..shida ni kupata hardcopy sijui hata zinauzwa wapi.
Umakini kwenye hardcopy unakuwa mkubwa zaidi kuliko softcopy.nadhani ni ule utaratibu wa zamani ubongo unakuwa umeadapt hivyo
😄😄😄Hiki umeandika nimeshindwa kusoma chote japo nami napenda kusoma
Una chaguo njemaStarehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula
Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia.
Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata kabla sijaanza chekechea tayari najua kusoma na kumultiply,kujumlisha.kuna muda nlikuwa nasoma kitabu chote Kisha nangojea ufafanuzi tu darasani.imagine mwalimu anasema haya Fulani nyanyuka utusonee hadithi sijui ya pwagu na pwaguzi,mie nakaa pembeni Kila aya tayari nshaisoma ipo kichwani.
Turudi Sasa kwenye kusoma mie sijui ndio nimeumbwa,ubongo wangu hauchoki,ukichoka basi nasinzia.
Tangu Niko mdogo biblia naijua kuanzia mwanzo mpaka ufunuo namaliza. Magazeti ya kiu,the guardian,mwananchi,nipashe,sani.nasoma kuanzia ukurasa wa mbele mpaka mwisho.
Majarida ya FEMA yote nimesoma.na ndipo nlipopatia elimu ya ujana.yani ninyime chochote ila sio kitabu nlichokipenda,ninyime vyote ila sio gazeti.nlikuwa nkiboreka natafuta gazeti au kitabu,nkikukuta unasoma nakwambia kabisa ukimaliza naomba.nilikuwa nikitembea njiani naokota vipande vya magazeti nasoma huku natembea.ukinikuta nasoma Niko mbali hata ulimwengu wa nje sijui Nini kinaendelea.marafiki wa utotoni baba Yao alikua anafanya kazi ipp media,wanapewa magazeti Kila siku anarudi nayo.imagine natoka Naenda kwao kuchukua magazeti nasoma Kisha narudisha.majirani kule kwingine wanajua kabisa Abby anakuja kufata gazeti,ama akishasoma ananipa.
Ilifika kipindi nkipata pocket money nanunua magazeti njiani Kwa wale walikuwa wanauza kwenye meza.ni nadra kukuta kabinti kadogo miaka Ile kunanunua gazeti zaidi wazee na wafanyakazi.
Nlipopata kuingia kwenye zama zingine za tech nikaacha taratibu magazeti na vitabu hardcopy na kuhamia huku.
Huo ulevi ndio ulinifanya niijue jamiiforums tangu 2015 na tagu niingiie humu nikaona ni eneo mojawapo sahihi Kwa ulevi wangu..kusoma!
Mie bila kusoma Kwa siku ni kama Teja wa visungura au madawa akikosa ndio ubongo wangu unakuwa hivyo.
Simu ikiharibika huwa napata tabu sana.kama nlitaka siku isonge nikae karibu na rundo la vitabu.
Ilifika wakati watu nliokuwa naishi nao wananishangaa.niko tofauti na wengi.
kati ya zawadi niletee gazeti au kitabu au jarida nafurahi mno
Je hii ni kawaida?
hamna bwashee hii ni ya yule 😁Hivi hii I'd ndio ya yule hata najua basii?
Sasa kama ndio ukweli nsiseme mkuu😄Ila sister abiagail unapenda kujiamualia sana mambo
Asante mkuuUna chaguo njema
Nipo na wewe kwa umakini sana , kwa hizi kamba zako hapanaSasa kama ndio ukweli nsiseme mkuu😄
Walionisaidia mno
Imagine binti mpaka nabalehe naambiwa Kuna watu wanapiga puchu..najiuliza ndio Nini.
Pia sie wanawake haya mambo yetu ya mwezini tulikuwa tunaelimishwa na hawa
Nkisema wamenisaidia elewa wamenisaidia sana.
Nani mangi ?hamna bwashee hii ni ya yule 😁
Sawa boss..ntaanza kuyapa kipaumbeleMambo muhimu usiwe unayasahau.
Sijui hata mi nimeandika kutokana na ulivyotoa comment tu nikaona kama kuna humour flani hivi, kwamba huyu si ndio nani yule alafu unasema hata hujui 😁Nani mangi ?
Bwashee wewe ni genius ila kapombe kidogo kamemisi kwenye ubongo wako, yani ukigonga pombe Tanzania itajivunia weweSijui hata mi nimeandika kutokana na ulivyotoa comment tu nikaona kama kuna humour flani hivi, kwamba huyu si ndio nani yule alafu unasema hata hujui 😁
Niliambiwa na Depal nianze na mbege na machalari 😁Bwashee wewe ni genius ila kapombe kidogo kamemisi kwenye ubongo wako, yani ukigonga pombe Tanzania itajivunia wewe View attachment 3593489
duh! izo kurasa 10 mm nitaaziandika siku 5 au wiki kabisa ila kusoma no ploblem nateleza tuK
Kuandika ndio ila sio sana.kumezidiwa.
Japo naweza andika hata kurasa kumi Kwa siku