Mimi na ndofu basi!

Mimi na ndofu basi!

twende kwa bed waache watoto wapo tuisheni kwa key board
Hahahahaaaaa yan mnanichekesha kiukweli nakuwa kama chizi hapa lol
Ngoja namimi nkalale aisee maana mtaniua kwa kicheko lol
 
Erickb52 umeonekana leo mitaa ya Levolosi unakata ndyofu. Ulikuwa na Mr Rocky

walevi.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kama ameshazoea haina shida shem wangu, ila siku atakayolia you have me to deal with.......deal?


Loh . . . .dada!
Asante mwaya ila Erick huyo anapenda tu kuniimba mdomoni mwake!

Usimu-entertain sana Amyner akija hapa ataninyofoa kope ilihali hata sura ya b52 siifahamu!
 
Last edited by a moderator:
Loh . . . .dada!
Asante mwaya ila Erick huyo anapenda tu kuniimba mdomoni mwake!

Usimu-entertain sana Amyner akija hapa ataninyofoa kope ilihali hata sura ya b52 siifahamu!
Mh na wewe umezidi uoga Kipipi jamani lol
 
Last edited by a moderator:
braza bora umekumbushia yaani kesho lazima achukue SA alipe asisingizie kuacha ndofu kumbe madeni......sleep wel msalimie Mama Tuli sorry Dena Amsi



Blaki Womani kajamaa kanasingizia kuacha ndofu kumbe kisa madeni yasiyolipika. Kila baa ana deni
Zimefika aise na wewe uwe na usiku mwema
Dena Amsi anakusalimia pia
Erickb52 na Arushaone mi sina majungu ila nasema ukweli kwanini nifiche aise ndugu yangu akiadhirika @
 
Last edited by a moderator:
Naahidi kutomliza FP niamini basi jamani!
Halafu unajua mi nilivyo na furaha muda wote...inakuwa ngumu kumuumiza binti mstaarabu kama yeye...ametulia...mtoto ana upeo na misimamo yaani ananifanya nihisi nina bahati kama ambavyo ningekuwa na wewe au kama nilivyo na Amyner
haya my dear, you have my blessings, lol! mimi dada mkubwa nakukabidhi mdogo wangu rasmi.....be a good boy.
 
Umenichekesha kuchoka hadi kifanyio....hapo ndo uogope sana maana ndoa itakushinda.
 
Blaki Womani kajamaa kanasingizia kuacha ndofu kumbe kisa madeni yasiyolipika. Kila baa ana deni
Zimefika aise na wewe uwe na usiku mwema
Dena Amsi anakusalimia pia
Erickb52 na Arushaone mi sina majungu ila nasema ukweli kwanini nifiche aise ndugu yangu akiadhirika @
Heheheee yan mi unanifananisha na serikali ya TZ? Dah madeni yenyewe nikiongea na Bishanga anayamaliza faster au nikijisogeza kwa The secretary sikawii kuondoka na dolar elfu tatu faster
 
Last edited by a moderator:
Umenichekesha kuchoka hadi kifanyio....hapo ndo uogope sana maana ndoa itakushinda.
Hahahahaaa umekuja love....
Yan hawa jamaa wananizonga utadhani nimeiba sadaka kanisani lol
 
Erickb52 wote ni abiria wangu haachwi mtu hapa kituoni
Bora mimi nakuwa mkweli kuliko wewe unajificha nyuma ya pazia
Dena Amsi ni mke mkubwa, Yummy alikuwa mke mdogo, sweetlady naweka kwenye mabano,
Blaki Womani namsalimiaga tuu
Preta nampa like tuu
Ciello nilimpa kura yangu ya miss chit chat
 
Last edited by a moderator:
haya my dear, you have my blessings, lol! mimi dada mkubwa nakukabidhi mdogo wangu rasmi.....be a good boy.
Asante sana kwa upendo wako
Naomba umwambie basi Kipipi asiniletee tena wenge lake maana nae anakuwa kama kitenesi sasa lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom