Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha ha haaaaaaaa, you wish, lol!Kweli aisee yan kidogo unikaribie mimi....
ha ha haaaaaaaa, you wish, lol!Kweli aisee yan kidogo unikaribie mimi....
he heeeee........... mmiliki nimeshamlaza, najivinjari hapa then nam-join. haya ulale salama piaHeheheeeee haya bhana...hebu ngoja nilale wewe naona mmiliki wako hayupo ndo maana huna usingizi.....lol
Usiku mwema eeeeeh
Ukilala lala salama.....By Diamond
ha haaaaaaaa :shut-mouth:Hahahaaaa wewe FP ushachelewa ngoja cha asubuhi tu sahizi mwache avute nguvu
sina neno mieNinacho, na blanket chapa mtu yuko hapa @Blaki Woman, na dadavuzi mpakato naye ndiye namtumia kwani vipi?
si kaniambia mmeshakubaliana? halafu hapa ninaloliona ni kuwa unampenda ila unahofia usalama wako, jimwage tu my dear, siyo vizuri kudhulumu nafsi yako. kanihakikishia ulizi wako, so, kwa raha zako......
uuwwwwiiiiiiiiiii Erickb52 njoo uone huku.......mama yangu weeeee..............mi simoAmekubaliana nani?
Sijataka tu kumchana live mbele ya kadamnasi!
uuwwwwiiiiiiiiiii Erickb52 njoo uone huku.......mama yangu weeeee..............mi simo
Mbona unaniwekea vizingitiiii.... Mie. Cna shida na mapenzi lol!Hahahahaaaa tena nakushauri haka kajamaa kanajiita manoah uachane nako kabisa hata kakikusogelea kape za uso hadi kasisome namba kabisa
Ngoja niwaachie kwanza hao wake zenu .... Maana imekua taabuHahahahaaaa yan we kila kona unataka dah unadhani uko mwanaume peke yako? Ntakulamba busha ukome we ngoja