Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,757
- 42,672
• Dini inazuia nini kwenye huo muunganiko wenu?Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee
Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake
Ahsanteni.
• Lengo lako ni abadili dini tu, au unataka aanze kujifunza na kuwa committed kwa 100%?
• Vipi kama akija kwenye dini Yako, lakini asiyape uzito mafundisho yake?