Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Hizi ndoa za hapa jamvini sasa mmmh! too much! naomba mwongozo kwa Mamdenyi,Kongosho na Judgement!,hivi hakuna sheria inayowabana watu kuja kututangazia wakiachana!!??, afu je kila mtu anajitangazia tu!!?? mara HYGEIA na Erotica, mara Charminglady na Mtoto six, mara Ronn M na jeneneke, tena huyu jeneneke ndo mgeni sidhani kama hata ODM amemkagua, haya bana

Nkupenda sana Baba V despite of your dought,ingekuwa me wew ningejiuliza what is so special na huyu mgeni hadi achumbiwe yeye wengine wabaki.Siitaji kukaguwa na ODM mamaa kipenzi gfsonwin ameshaona nafaa that is very enough unajua mama ndo kila kitu hasa mamkwe
 
Nafurahi kukuona mwenye furaha!

Ndo hivo oh huyu mgeni hafai kolewa haolewi,ndo imekuwa,siyo vijembe ni chereko tu.I can imagine katoto katazaliwa mkono mmja kameshika Bible mwingine Law Report.
 
Hongera sana!

Kwa kuwa Mungu alisema si vyema mtu aishi peke yake, na hivyo mtu atamwacha babae na ***** na kuambatana na

mkewe, na kwa kuwa mama yangu mpenzi gfsonwin na baba yangu mzee mzima Kaizer wamenipa baraka zao,

nikitambua kuwa 'tunda' ni moja wapo ya basic needs, nikisukumwa na pendo la dhati moyoni, mara baada ya masharti

na vigezo kuzingatiwa, mimi, Ronn M, Mtanzania mtu mzima, nikiwa na akili timamu, na bila kulazimishwa na mtu yeyote,

natamka ya kwamba, @jineneke now belongs to me! Naahidi kupenda, kumjali,kumtunza, kumlinda na kumridhisha kama

baba na kama mume! Taarifa hizi zimfikie cacico, Mwa J (nilimpenda sana, (sorry jeneneke, never mind)), charminglady and AshaDii popote walipo. Taarifa hizi pia ziwafikie Erickb52, Asprin, Dark City, Baba V Mamndenyi, Preta Shixi889, Kongosho, BADILI TABIA, Mzee Mtambuzi, The Boss na platozoom. Nitoe onyo kwa Bishanga, kaa mbali! Shukrani za dhati kwa mshenga ruttashobolwa kwa kazi njema

Tayari nilikwisha agiza pete toka ughaibuni kama muionavyo hapa.





View attachment 62557
Kisses @jineneke! Kisses darling!​
 
Last edited by a moderator:
walaahhhhhhhhhhhhhhh mie nitalipia gharama za gauni la harusi...
Jmani aunt BADILI TABIA so sweet of you thank youuu.Am happy to see there are good people around us.

shemeji Kaizer na dada yangu gfsonwin, naona mtoto kakua huyu...soon tusubirie wajukuu...
Ameeen.Ameen.



 
My Love Ronn M yani tangu nimeingia hapa hata kuniambia neno?!Haya ngoja me niseme neno,"nakupenda"Mama gfsonwin yuko wapi?
 
Kwa namna ya pekee nawashukuru wale wote waliofurahia na hata wale ambao hawakufurahi nawapenda wote Mungu Aendelee kuwabariki.Wooote nawatakia usiku mwema hasahasa mama gfsonwin najua uko busy na shamra*2,mshenga ruttashobolwa,aunt BADILI TABIA,Erickb52,mama mdogo cacico,babu Mtambuzi,Mtoto six,Mathematics,Baba V,Asprin you made my day with the picha thank you, na wote na mwisho kabisa, mume wangu mpenzi mtarajiwa Ronn M nakupenda sana sleep tight baby!
 
Hivi Remmy unadhani ulichokifanya na PakaJimmy kinasameheka?
Mi nilijua mnatania kumbe wenzangu mnakula maraha kisa niko busy na maisha
Lol ngoja nijipumzishe kwa The secretary wangu mtulivu asiye na doa
Mtoto katulia utadhani utadhani malaika lol
Mlaumu sana huyo anayejiita PakaJimmy

Heheheeeeeeee....
Nageuziwa kibao, eti kuna njama nimefanya na PJ,
Haya bana.
We nenda ka enjoy kwa Huyo The secretary
Wala sina hiyana.
 
Last edited by a moderator:
Msijai najua ucngizi na pilika za idd zimewachosha kukicha mtaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom